Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kubeba Mtoto Mgongoni

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kuonesha mfano wa Baba bora ndani ya familia kwa kubeba mtoto.
IMG-20210620-WA0221.jpg
IMG_20210620_140111_059.jpg
IMG_20210620_140101_333.jpg
IMG_20210620_140051_481.jpg
IMG_20210620_140037_751.jpg
IMG_20210620_140049_210.jpg
IMG_20210620_140035_259.jpg
IMG_20210620_135832_577.jpg
 
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kuonesha mfano wa Baba bora ndani ya familia kwa kubeba mtoto.View attachment 1824788View attachment 1824790View attachment 1824792View attachment 1824794View attachment 1824796View attachment 1824793View attachment 1824795View attachment 1824797
Kuwa baba bora sio lazima umfunge mtoto mgonhoni na sio kitendo cha siku moja, its a lifetime duty, sijaona sababu ya yeye kumfunga mtoto mgonhoni ilhali hatujui uhalisia wa maisha yake kama baba ndani ya nyumba yake
 
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kuonesha mfano wa Baba bora ndani ya familia kwa kubeba mtoto
Mambo ya kubebabeba amwachie Richard Kasesera wa Iringa
 
Haya mambo ya maigizo yalikuwa ya awamu ya mwendazake, huyu bado anahangover. Mwambieni Rais SSH hapendagi watu wa namna hii. Anajua ni wajinga na wanafiki na chawa.
 
Back
Top Bottom