Chanzo cha wanawake kuwa magogo kitandani ni hiki hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,956
2,000
1542333966000.jpeg

Msilalamike kuwa wanawake wame kuwa magogo, hata kile kinu amacho ndiyo manikin kule unyago hakina uzito huu.
Msimtafute mchawi jiangalieni hali zenu kwanza.
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,328
2,000
Kilo zote hizo zikae juu yako na bado uonyeshe vipaji na ufundi wako? Aaaa wapi, endeleeni tu kuwa magogo hadi na sie tutakapoanza kampeni za kitambi noma.
 

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,103
2,000
WALA SIONI CHANZO CHAKE HAPO. KAMA MTU UNALIPA KWA NINI USIJISHUGHULISHE? WANAUME WANALIPIA HUDUMA NZURI. haijalishi wao wakoje..so la msingi hapo ni kuchangamka..kesho uje kusema mwanaume bahiri kumbe ni sababu ya ugogo wako kitandani.
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,531
2,000
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,hapo mwanamke akipagawa wala huo uzito hatouona,usicheze na feeling.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom