Wajomba nawasalimu kwa jina la JMT.
Hii picha inasema mengi sana, pia ni picha nzuri na yakuvutia.
Wajombaa nisaidien kutoa caption inayoendan nayo[emoji23]
"MJOMBA MJOMBA nisikilize mjombaa...
Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography)
Object +Time+...
Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui...