Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Hili kwangu jipya hebu toa ufafanuzi kidogo ukiambatana na mfano halisi uliousikiaNimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Inawezekana pengine hakumakinika na mada tu; kama ataulizwa suala la ndoa, akatumia imani yake kujibu swali hilo, sioni shida!Hili kwangu jipya hebu toa ufafanuzi kidogo ukiambatana na mfano halisi uliousikia
Hata mimi nimeshangaa labda tungoje mwenyewe aje aelezeeInawezekana pengine hakumakinika na mada tu; kama ataulizwa suala la ndoa, akatumia imani yake kujibu swali hilo, sioni shida!
Kama ataulizwa suala la katiba, akatumia imani yake kujibu, hapa kutakuwa na shida.
Sasa kwenye hiyo katuni, sijaona maoni ya kidini; kama ndivyo, basi SSH aache kuvaa sijui ndo lemba au shungi hilo kwakuwa linaonekana ni la kiimani.
Acha uongo ww. Hii katuni wala haiusiani hata na mambo ya dini. Halafu PB hausikilizi peke yako chief.
Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Cartoon haihusiani na comment yangu kabisaa..mm nimechomekea tu kumpondaa huyoo kipanyaa..sijawah kumskia hata siku moja kipind cha jpm akimpa hata kongolee kwa kaz kubwaa aliyokuwa anaifanyaa..mama kaingia tu kaanzaaa...masoud kipanya mm ni mshabik wako kindaki ndani nakukubali sana pale pb..usipokuwepo ww baas huwa sionagi sabab ya kuskiliza kipindi..ila tabia yako ya udini uache..imani kali hazitakiwi kwenye vyombo vya habar vinavyosikilizwa na watu wa aina tofauti..Acha uongo ww. Hii katuni wala haiusiani hata na mambo ya dini. Halafu PB hausikilizi peke yako chief.
Mfuate umweleze, sio unachafulia uzi, hapo umeona picha ya msalaba? Kama uliona anahojiwa Kwa nini usipige simu na kutoa dukuduku lako.Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Kwani mtoa uzi ndio kipanya? JitathminiCartoon haihusiani na comment yangu kabisaa..mm nimechomekea tu kumpondaa huyoo kipanyaa..sijawah kumskia hata siku moja kipind cha jpm akimpa hata kongolee kwa kaz kubwaa aliyokuwa anaifanyaa..mama kaingia tu kaanzaaa...masoud kipanya mm ni mshabik wako kindaki ndani nakukubali sana pale pb..usipokuwepo ww baas huwa sionagi sabab ya kuskiliza kipindi..ila tabia yako ya udini uache..imani kali hazitakiwi kwenye vyombo vya habar vinavyosikilizwa na watu wa aina tofauti..
Zingatia hilo
Punguze stress jomba!!Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Embu elezea kwa kutumia hiyo katuni hapo juu...Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Khee!! Kumbe shida ni NDIYO MZEE...!!?? YES BOSS??Cartoon haihusiani na comment yangu kabisaa..mm nimechomekea tu kumpondaa huyoo kipanyaa..sijawah kumskia hata siku moja kipind cha jpm akimpa hata kongolee kwa kaz kubwaa aliyokuwa anaifanyaa..mama kaingia tu kaanzaaa...masoud kipanya mm ni mshabik wako kindaki ndani nakukubali sana pale pb..usipokuwepo ww baas huwa sionagi sabab ya kuskiliza kipindi..ila tabia yako ya udini uache..imani kali hazitakiwi kwenye vyombo vya habar vinavyosikilizwa na watu wa aina tofauti..
Zingatia hilo
Cartoon haihusiani na comment yangu kabisaa..mm nimechomekea tu kumpondaa huyoo kipanyaa..sijawah kumskia hata siku moja kipind cha jpm akimpa hata kongolee kwa kaz kubwaa aliyokuwa anaifanyaa..mama kaingia tu kaanzaaa...masoud kipanya mm ni mshabik wako kindaki ndani nakukubali sana pale pb..usipokuwepo ww baas huwa sionagi sabab ya kuskiliza kipindi..ila tabia yako ya udini uache..imani kali hazitakiwi kwenye vyombo vya habar vinavyosikilizwa na watu wa aina tofauti..
Zingatia hilo
Umekuja kugundua? Ukitokea wapi?Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
Humuoni na ile sigdaaa kichwaniNimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..