Kalipe ada ya watoto wewe! Usijeinywea pombeHivi unajua mnywaji au mlevi akianza kutetea kinywaji chake anavyokuwa makini kuchagua hoja zenye mashiko na ushawishi?Ni hiyari yako kusikiliza na kumfuata au kumpinga kwa hoja.Na amini nakuambia,hakuna mnywaji wala mlevi ambaye ukimuuliza kama uanze kunywa pombe au laa? Lazima atakuambia usinywe ni mbaya.Make it clap to the brodas'Bravos to wanywaji!😝😝😝😝😝
Hata ada inishinde.Ntakufa.Ninyi msiokunywa muache umalaya.Mimacho chinichini Kama skunks!Hovyo kweli ninyi.Na usengenyaji muache!😝😝😝😝😝Kalipe ada ya watoto wewe! Usijeinywea pombe
How could I?Kula maji nakula ile ngumu.Sina unafiki na kujificha.Mada niipinde kivipi?Weye soma,ulichoelewa changia.Nongwa ya nini? Yawezekana nilivyoelewa mimi uzi weye ulielewa vingine.Au wewe ndio dr. mlevi mwenyewe nini, maana naona unaleta jitihada za kupindisha mada 😎