Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na...
Leo February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa...
Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya...
Weka picha za wahanga wote duniani iwe ni wa Vita, njaa, matetemeko na majanga mengine
Kwa ajili ya kuwaombea na kuwatakia mema "hakika kila gumu lina mwisho"
Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
Kuna hizi baadhi nimepewa;
Hana bima ya afya wala hamjui vet.
Anajitafutia msosi wakati wa shida na kula mabaki
Anaudhuria misiba na harusi ata mitaa ya mbali
Anaweza kugongwa na gari, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.