Mwandishi wa habari wa kituo cha Clouds Tv, Kijakazi Yunusu akipiga magoti kuomba kura kutoka kwa wajumbe ubunge viti maalumu, kupitia jumuiya ya wananwake CCM, katika ukumbi wa Kaagwa Mjini Lindi.
Mfalme Salman wa Saudi Arabia kawasili Ufaransa kwa mapumziko ya wiki tatu.
Mfalme kaja na wageni wake 1000 na kukaa katika villa yake mjini Vellauris, iliopo karibu na ufukwe wa bahari maarufu...
Sifa za Sanamu:
1. Ngozi na macho zinafanana na binadamu.
2. Wametengenezwa na Silicon ya hali ya juu.
3. Wanatengenezwa size ya binadamu.
4. Mteja anaweza kutoa oda la kutengenezawa umbo...