englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mwandishi wa habari wa kituo cha Clouds Tv, Kijakazi Yunusu akipiga magoti kuomba kura kutoka kwa wajumbe ubunge viti maalumu, kupitia jumuiya ya wananwake CCM, katika ukumbi wa Kaagwa Mjini Lindi.