Mchumba Hasomeshwi.................... ...

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
11742701_594886740654573_4290507668709181913_n.jpg
 
hahahah sio kweli banaaa...unamsomesha na mimba juu

Hachelewi kukwambia sio yako kwakuwa
1. Utalipia ada na matumizi ya kawaida shuleni
2. Kuna msaidizi atakusaidia kumlipia nauli na chakula pengine
3.kuna msaidizi yeye atahusika na nguo starehe na outings
4. Atakuwepo kipenda roho huyu ni mtumiaji tu asiyechangia chochote. Maungo kiuno miuno ndio pake
 
Vijana mna kazi!
 
hahaaa yaan unavyohofia akat kuchapiwa sir ya ndan
Unasomesha unajiandaa kutia mimba wenzako wameshawahi!
hahaa kabla ujaanza kumpeleka shule unahakikisha umeshafanya mambo banaa
 
hahaaa yaan unavyohofia akat kuchapiwa sir ya ndan

hahaa kabla ujaanza kumpeleka shule unahakikisha umeshafanya mambo banaa
charty unajua hakuna kitu kinachouma kama hicho....unajua kiasili Mungu wetu alimletea Adam mwanamke mmoja tu(Eva)na Eva naye alipewa mwanaume mmoja tu (Adam)ni kitu cha kiasili mno
 
Last edited by a moderator:

mshana jr siku hiz watu wamekosa hofu ya mungu...na wamehalalisha uzinz kua kitu cha kawaida ndo maana ndoa za siku hiz hazidum
mimba juu?????????????????????????
ndio usipotia mimba wenzio watakuwah hapo ndipo utakapoona uchungu wa mchumba amavubi
 
Last edited by a moderator:
Duu kumbe nami nimo kwenye kundi la vijana? Nimefarijika mno ngoja nitinge viwalo niende bills
Mshana, si unajua kuhesabu? Sasa unafarijika nini wakati kila kukicha unahesabu siku, wiki, miezi and then miaka ya umri wako! Unaijua hivyo huna la kufarijika maana umri haugandi-siku hazigandi
 
Back
Top Bottom