Wewe unafurahia tu mvua inavyonyesha. Fikiria upande wa pili waishio mabondeni na hali hii wanaishije! Dunia hii, we achaa tu, Swadakta kwa walionena, "usiseme twafa sema nafa"
Naona majirani zetu hawajaridhika na mlima Kilimanjaro, Oldvai Gorge na Ngorongoro, wameamua kuiba na daraja la Kigamboni kabisa.
Maajabu hayatakwisha duniani
Zinatokea sana Uswaz na mechi kubwakubwa.Refa anapewa mkwanja ili kubadili halafu anashindwa kutimiza adhma.Watu wanakosa uvumilivu na kugawa kichapo kwa kwenda mbele.Yaani mtu anakupa mkwanja na...