Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
Zinatokea sana Uswaz na mechi kubwakubwa.Refa anapewa mkwanja ili kubadili halafu anashindwa kutimiza adhma.Watu wanakosa uvumilivu na kugawa kichapo kwa kwenda mbele.Yaani mtu anakupa mkwanja na baso unachana mkeka wake