Mkulima anafurahia mvua, hakumbuki wa mabondeni

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,985
1,285
Wewe unafurahia tu mvua inavyonyesha. Fikiria upande wa pili waishio mabondeni na hali hii wanaishije! Dunia hii, we achaa tu, Swadakta kwa walionena, "usiseme twafa sema nafa"

duhuuuuuu.jpg
 
Back
Top Bottom