Mwanaume wa Dar Akijisaidia Haja Ndogo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12923183_482966095226596_8904816555962450138_n.jpg
 
Ukiwa unasafiri na basi mkafika sehemu kama pale korogwe watu mnaenda kukojoa kinachoniuzi kwa wanaume wa dar akiwa anakojoa lazima atoe ushuzi sijui kwanini
Ama kweli hii dunia ina vituko yaani weye unakwenda maliwato kuchunguza wenzako! Duhh, sasa weye nina wasiwasi utakuwa unapiga chabo wakati wenzako wakikojoa ili kupata data za kautafiti kako kuhusu wanaume wa Dar wana ashakum ndefu au fupi?
 
Ukiwa unasafiri na basi mkafika sehemu kama pale korogwe watu mnaenda kukojoa kinachoniuzi kwa wanaume wa dar akiwa anakojoa lazima atoe ushuzi sijui kwanini
Hiyo mbona ni jambo la afya tu mkuu..
Kujamba wakati wa haja ndogo ni kitu cha kawaida sana na wala haina uhusiano wowote na u-bwabwa
 
Back
Top Bottom