Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Hapa nanukuu maneno bora mno miongoni mwa maneno ya mwanachuoni huyu,alipokuwa anaelezea ukweli kuhusu Wanafalsafa. Lengo la kunukuu maneno haya ni kuangalia ukweli na uzito wa maneno haya kisha...
6 Reactions
18 Replies
6K Views
Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye. Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii. Wapi tulikaa kikao, ni lini...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Sikilizeni ducumentary hii hapa kuhusua utafiri wa hivi karibuni yenye kichwa kinachosema "Solving the Mystery of the 3,000 year old Paracas Skulls… Evidence of Ancient Aliens" UPDATE...
7 Reactions
135 Replies
17K Views
ALAMA YA MNYAMA NI NINI? UFUNUO 13:16 "Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa masikini, walio huru kwa watumwa watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Nimejaribu kuleta mjadala wa kichwa husika hapo juu.tujadili.kwakutumia logic ya kawaida pamoja na laws of nature ilikuonesha uwepo wa Mungu bila kuhusisha kitabu chochote cha dini fuatilia. Kila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa kuna nyekundu kijani na blue. Lakini nini kinafanya ujue kwamba unachokiona ni cha blue na mimi nakiona ni cha blue? Rangi tumezipa majina ili iwe rahisi kupata reference wakati wa...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo. Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo? Yaani siulizi mungu ametokea...
13 Reactions
309 Replies
15K Views
Utulivu ni muhimu kwenye nafsi zenu wote. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wajuzi wa mambo wanasema ukweli unashangaza sana kuliko uhalisia wa mambo. Asilimia 100% ya vitu vinavyo tuzunguka...
40 Reactions
172 Replies
28K Views
Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi: Mahitaji: 1: Sauti Iliosawia Ya Kwako 2: Taa au Mshumaa Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra...
19 Reactions
417 Replies
72K Views
Mungu wa biblia, Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima! Katika kitabu hicho kimenadi...
9 Reactions
163 Replies
12K Views
Inawezekana katika kupita pita kwako kwenye mitandao umekuta jini huyu kazungumziwa sana lakini si kwa uwazi zaidi ya kuwa ana hakikisha ushindi kwako katika michezo ya kamari, Hapa nitakujuza...
22 Reactions
157 Replies
42K Views
Habari wanaJF, Katika Mwanzo 2:7, Adamu 1 aliumbwa kwa udongo na mavumbi, katika warumi 8:23 kitabu kinasema kuwa sisi sote tulikuwa malimbuko ya Roho na Nafsi ambayo inaugua na ina mwili (yaani...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Salute Siku moja nilikua naangalia TV chanel moja ya watoto inaitwa Da Vinci Learning ya wayoto nikaona kipindi kimoja kinaitwa Thomas Edison Laboratory:Father of invetion asee nilighafirika sana...
48 Reactions
228 Replies
36K Views
Baada ya mamilioni miaka kadhaa ya vita ya nuclear ambayo ilihusisha Allies tofautitofauti( vita hiyo ndiyo iliua wanyama wakubwa kama dinosaurs etc) achana na habari za kuanguka kwa kimondo kama...
2 Reactions
3 Replies
832 Views
Jina huathiri muktadha, asili, chanzo na uhalisia wa kitu..... Kitabu cha MWANZO katika Biblia takatifu ndicho kitabu msingi kinachosomwa zaidi duniani... Tena na imani na dini zote... Nukuu na...
67 Reactions
429 Replies
57K Views
  • Closed
Kuna vijana wengi wanataka kuwa ‘masiya wa kisiasa’ wa Tanzania. Yaani wanataka kuikwamua Tanzania kutoka kwenye matatizo yake ya muda mrefu. Ili vijana hawa wasifanye makosa, ni vizuri wakajua...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wana JF. Mungu ni mwema. Anaokoa na anajibu. Muombeni yeye pekee. Kila kitu kinawezekana kariba jina la Yesu
15 Reactions
100 Replies
27K Views
Majo yote tunayoyaona hapa duniani yana umri mrefu sana kuliko hata mifumo mengine ya nyota kama ulivyo mfumo wetu wa Jua hapa na maana kwamba hata mfumo wetu wa Jua unaumri mdogo kuliko maji haya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika makala hii nitazungumzia nguvu nyingine ya muujiza moja kati ya nguvu za miujiza walizonazo watu wengi ambayo ni Clairvoyance; Hii ni moja kati ya nguvu za miujiza ambayo wenye nayo...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
HYPNOSIS Katika makala hii nitakueleza kwa uchache kuhusu Hypnosis nikiwa na maana kupangua na kuhama kutoka sehemu moja ya fikra kwenda nyingine. Kwa Kuanza; Hypnosis ni rejea Inayohusu au...
14 Reactions
92 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…