Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..
Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo...
Habari za weekend wana JF, kuna swali nimekua nikijiuliza muda mrefu sana na kuna mada iliwekwa humu JF ambapo wachangiaji wengi kina Wick na Malcom Lumumba waliijadili hii issue ila kwa kugusia...
Tarehe 22 july, 1955 Pan american ilianza safari yake kutoka New york kuelekea Miami ikiwa na wafanyakzi 4 na abilia 57. lakini chaajabu katikati ya safari ndege hiyo ikapoteza mawasiliano na...
Mfumo wetu wa jua na sayari zake vimo ndani ya galaxy inayoitwa milky way(kilimia). Galaxy ya kilimia ina umbo kama sahani iliyogawanyika kwenye mikia (arms)mbalimbali.
Sahani hiyo ina upana wa...
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili...
Wasomi wengi wanapoangalia suala la akili kuna vitu wanasahau. kuwa kuna multiple intelligence. or variety of intelligence. unaweza ukawa na akili ya darasani au akili ya uwanjani ikiwa umchezaji...
[13:50, 4/17/2015] alphilly: MAAJABU YA NYOTA AINA YA COMMET/COMET.
Katika Ulimwengu tunaoishi kuna maajabu Mengi sana ya aina yake. Kamamtakuwa na kumbukumbu mzuri basi mtakuwa na kumbukumbu...
Kote duniani, jamii mbalimbali wamekuwa na hadithi juu ya binadam wenye maumbo makubwa kupata kuishi kwenye jamii zao kwenye zama zilizo tangulia. Kwamba binadam hao walikuwa na maumbo makubwa na...
Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.
Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri...
NDUMBA ZA KUWAWEZESHA KUONA MAMBO YATAKAYO TOKEA MBELENI.
Wachawi wa nchi wanazo ndumba zenye uwezo wa kuwasaidia kujua mambo yatakayo tokea mbeleni, hivyo basi kama kuna hatari yoyote ile...
Juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tunashirikiana kwa mengi tu. Amekuwa ni mfanyabiashara kwa muda mrefu sana wa maisha yake. Hapa katikati, halihalisi imekuwa sio nzuri kibiashara, na...
Sio 1942 tena, na hauhitaji nguo za magome na ndevu nyingi ndo uelewe kuwa ni vitu vinne vinayapa maana maisha yako.
#Cha kwanza
KISAIDIA WATU
Maisha yasiyo na maana kuliko yote inabidi yawe yale...
Sumerian Civilisation, ndiyo Ustaarabu wa kwanza kuwahi kutokea duniani kati ya mwaka 4500 - 2000 BC katika Eneo la Mesopotamia (Iraq). Vitabu vya Historia havina uhakika wa mahali "Sumers"...
NIBIRU - PLANET X Will a planet called Nibiru bring about the
end of the world on December 21, 2012?
Let's start by looking at where this idea of
the world being destroyed by a planet
came...
The following article is based on J. R. Terrier’s book “History of Easter – Hidden, Secret Origins and Mystery Religion“.
Easter is an annual celebration observed throughout the Christian world...
Katika Karne ya 17, Kitabu cha Enoch kiligunduliwa katika Vitabu vitakatifu vya Madhehebu ya Ethiopian Orthodox na Coptic nchini Ethiopia na hadi kufikia Karne ya 19, kilikuwa kimeshatafsiriwa...
Goddess Eingana akiwa amebeba mabegi yenye watoto.
Watafiti wa Historia wamekuwa wakipata changamoto ya kung'amua ni kwa nini picha nyingi sana za miungu (gods) ya Zama za Kale, zinawaonyesha...
Tuliumbwa na Anunnaki, Lyrans na Igiggi na Anunnaki wamekuwa na sisi chini ya ufuatiliaji wa kila siku kwa miaka takribani 500,000 kutoka kwa nchi yao ya Ashtari (pia inajulikana - kwa uongo -...
A photographer @fsbragaphotos has captured a breathtaking image of a lightning bolt which has hit the Christ the Redeemer statue on February 10th, 2023.
The bolt of flash struck the head of...