👉HUKUZALIWA 👉KUJA
👉KUOKOLEWA 👉NA MTU
Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu...
Twime tubite
Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo.
Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema...
NGUVU ZA ULIMWENGU.
Nguvu za full moon.
Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 .
Mambo ya kufanya .
👉Kuachilia.
Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na...
THE REAL EYE REALIZE
(Jicho la kweli hutambua)
👉"Eye is the window to the soul"
👉"The light of the body is the Eye."
"Eye is the window to the soul" kwa tafsiri ya kiswahili ni...
Twime tubite 'Hakuna mfano nyuma mfano ,nyuma ya mfano Kuna Imani.
--------
Historia inaenda kujirudia Tena, wachache watakaosalia ni wale ambao hawajali sana watu wanawaonaje au wanawachukuliaje...
Habari Wakuu,
Mada yahusika hapo juu. Sina sababu ya kurudia kufafanua hayo maneno hapo juu ila kuna kitu ninewaza baada ya kupitia post moja ya mdau. Hizo variable anazo binadamu, ila...
Roma bado inatawala dunia: ingawa ilianguka mwaka 476 AD ila athari zake zilikula dunia yote, ndo maana primary tulisoma no. za Kirumi na hata saa na Kalenda tunatumia za Kirumi na mataifa mengi...
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi.
Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya...
SEHEMU YA I
Wasalaam,
Miaka ile wakati ningali bado vidudu nilikatiza mitaa fulani kule Songea nlipokwenda kumtembelea mjomba (Marehemu) wangu mlevi.
Basi mida ya kila jioni tungevuka...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi.
1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho.
2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu...
Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo...
Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi...
Tunaanzia katika jamii za Wachaldeans na Wamisri ambao waliamini kuwa hapo kabla Mungu aliumba MWANGA (ikiwakilisha dunia ya malaika).
Nje ya ule mwanga wakaumbwa daraja la viumbe wasioonekana...
Habari za jioni wanajukwaa nataka tusome uzi huu kwa umakini alafu mwishoni mtaelewa ujumbe naokusudia.
UTANGULIZI
Mnamo mwaka 1939 vuguvugu la vita kuu ya pili ya dunia lilishika kasi ambapo...
Habari wakuu.
Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao...
Duniani tumo binadamu wa aina tatu kiakili na wote tunaishi pamoja in harmony na tumegawanyika katika makundi makuu matatu kiutendaji na utekelezaji wa akili zetu.
Kundi la kwanza ni wale...
Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various...
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️
👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️
SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅
Watu wengi ukiwauliza...
Utulivu wa nafsi ni mafanikio. Nitoe angalizo tuu kuwa Hii mada sio kwa ajili ya kila mtu ni kwaajili ya watu wachache sana ndio wataelewa.
Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa...