Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Dunia ya sasa inaendeshwa kupitia kanuni za sayansi na teknolojia ambazo zilivumbuliwa na wanasayansi katika karne zilizopita. Kanuni hizi siamini kuwa zinazima ndoto ya uvumbuzi wa kanuni mpya...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Kuna maada mbalimbali zimeanzishwa humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wangu wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini. Swali la Musingi ni ‘kwa...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Binadamu ni project au mpango wa viumbe wa sayari ya mbali ambao walimtengeneza binadamu kwa ajili ya kazi yao ambayo ilikuwa ni kufanya kazi katika migodi ya dhahabu. Sayari ya Dunia Ilivyotokea...
17 Reactions
76 Replies
6K Views
Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu. Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na...
24 Reactions
350 Replies
25K Views
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana. Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa...
118 Reactions
2K Replies
64K Views
Imekuwepo mijadala mingi ya aina hii hapa JF,Kwa hiyo lengo la uzi huu ni kujadili hoja zitakazoletwa bila jazba na hivyo kupanua uwezo wa kujenga hoja.kuna makundi makubwa mawili duniani yaani...
10 Reactions
196 Replies
23K Views
Wakuu, Sina kiswahili sahihi cha neno ''enchweke'' ambalo kwa lugha yangu ya kihaya ni hali ya mzimu wa mtu aliyekufa kumwandama mtu aliye hai na kumfanya aongee kile anachokitaka. Mara nyingi...
5 Reactions
47 Replies
9K Views
Wiki mbili hizi naona kuna VITABU vya kijajusi vimezinduliwa au vitaingizwa DUKANI,binafsi napenda kusoma vitabu hivi,ila najiuliza watu hawa wanaotoa vitabu hivi wanauelewa mkubwa juu ya hayo mambo?
9 Reactions
53 Replies
20K Views
Nyakati,wakati au muda vyovyote unavyoweza kuita kuashiria muendelezo wa hatua au matukio yaliyopita ya sasa na yajayo, hivi ushawahi kujiuliza nini maana ya nyakti je ni kuzama na kuchomoza kwa...
0 Reactions
6 Replies
907 Views
OPERATION WET-I-E COUNTER-COUP; MAPINDUZI PEKEE AFRIKA YALIYO JIRATIBU YENYEWE, YAKAPINDUA NAYO YAKAPINDULIWA KISHA YAKAIGEUZA NIGERIA KUWA UWANJA WA MAPINDUZI. Na. Comred Mbwana Allyamtu...
11 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu.......... Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Bila-shaka hakuna swali lisilo na jibu japokuwa kila jibu litolewalo si lazima liwe sahihi. Waulize swali moja wanafunzi wa chekeachea, shule ya msingi, sekondari na vyuo kwa nini unasoma shule...
11 Reactions
233 Replies
44K Views
Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi.. Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema" Je ni kwanini ninasema haya. Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata. Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, Samahani kwa Tafakuri yangu kama nitaudhi imani za watu wengine basi naombeni mnisamehe sana. "Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Hapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya. Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe...
9 Reactions
117 Replies
4K Views
Jana nikiwa kazini nikawaza 'Nina siku sijaenda kumsalimia bibi, sijui lini niende' Duh aisee nikakumbuka alishafariki mwaka huu miezi yamwanzoni kabisa. Bibi yangu alinipenda sana nayeye ndie...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Hii ni hadithi ambayo ilikuwa ni fumbo ambalo mpaka leo hii Plato hatasahauliwa kwa kuweza kutumia ufahamu wake kuelezea uhalisia wa maisha na ufahamu wa mwanadamu ulivyo kwa ujumla. Ni mfano...
19 Reactions
80 Replies
23K Views
TWIME TUBITE Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida...
14 Reactions
49 Replies
4K Views
Utangulizi Tokea 9/11 vyombo vya usalama wa taifa vimekua vikijihusisha zaidi na masuala ya ulinzi wa mipaka na kutafuta na kuzuia ugaidi. Vyombo vya usalama vya nchi nyingi vimefanya marekebisho...
2 Reactions
22 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…