Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an:
"Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine...
One of the greatest challenges faced by humans in their interactions with the details of life is the sayings, discourses, and concepts socially entrenched, which have gained legitimacy in...
Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.
Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali...
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI
2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Naam imesimama,
Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku.
Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa...
KWA WAHUSIKA, KUTOKA PANDE ZOTE.
Enyi WAJAMAA, Karibuni kwenye Lami ya Kondoa-Babati to start THE JOURNEY BY NIGHT, Q R17.
Fupisho la Kafia getho-Ni Machozi yaliyosheheni pumziko Zito...
Niliwahi kusikia kuwa njia rahisi ya kutambua nyota ni herufi ya mwanzo ya jina na Tarehe ya kuzaliwa..
Herufi ya jina ni nyota nyingine na tarehe ya kuzaliwa ni nyota nyingine..
Hapo ipi nzuri...
THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW
NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU
👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana...
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi...
Military Intelligence Coup: Kisa cha majasusi wa Mossad waliomhonga rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq (Mikoyan-Gurevich MiG-21)
Kuanzia mwaka 1952 mpaka mwaka 1963 Isser...
Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao...
Kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na kila mmoja wetu anajua kuwa siku moja, maisha yetu yatakwisha. Ingawa ni jambo lisiloepukika, kifo bado linabaki kuwa suala gumu na...
Tunajidili namba tatu kivingine leo... Sio tatu kama tatu la hasha bali mara tatu.
Tuangalie kwanza jinsi uhai unavyotengenezwa;
Makutano ya jinsia mbili tofauti
Kutungwa mimba
Kuzaa
Mfano huu...
Baada ya Mgogoro mkubwa wa Kanisa uliozaa Makanisa mawili - Western Roman Catholic Church na Eastern Orthodox Catholic Church mwaka 1054, Kanisa la Magharibi ambalo ni Western Roman Catholic...
Wakuu,
Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara...
Kamwe huwezi kudanganya kifo. Michael Jackson alitaka kuishi kwa miaka 150. Aliteua madaktari 12 nyumbani ambao wangemchunguza kila siku kuanzia nywele hadi kucha. Chakula chake kilijaribiwa kila...
DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake.
Trump ni mtu...
Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia.
Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua...
Sasa wazee habari zenu kwanza, Heri ya mwaka mpya,
Kwa upande wangu baada ya hii AI ya Deepseek kuvumbuliwa nikajua labda inaweza kuleta school of thought mbadala kabisa kwenye hill swali pendwa...