Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
44,929,002. That is how many Tanzanians were counted. They can go on and make the last digit 3 because I had to leave the country a week before the census. All jokes aside, Tanzania has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mabishano makali yamezuka katika mjadala unaoendelea Katika Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Huko Arusha katiya Kenya na Rwanda. Hoja ikiwa ni wao wanataka kuwe na sarafu moja ya...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari za Asubuhi wanaJF! Kumekuwepo na umilikaji wa silaha za kivita, ambazo ni hatari na raia yoyote hapaswi kumiliki. Silaha hizo hutumika kwa ujambazi, katika mapori kadhaa yaliyo maeneo ya...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Closed
Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu. Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko...
0 Reactions
121 Replies
43K Views
  • Closed
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi. Tukiweza kuweka list...
2 Reactions
332 Replies
75K Views
Nimeamua kuamka na swali hili baada ya ile habari ya wana ndugu wa marehemu aliyefariki tangu Ijumaa ya wiki hii kukataa kuamini kuwa amekufa na kuamua kumpeleka katika Kanisa la Ufufuo na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana habari, Ni hivi majuzi tu bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni muhimu kabisa ya simu Tanzania TTCL ilivunjwa na kuundwa ingine! Lakini kuna jambo lililo jificha ndani yake. Huyu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Friends, Following recent events that have been happening all over our country, nimejikuta nawaza sana - like how did we come to this stage? Its a lot to grasp considering 'ours was supposed to...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nani alianzisha,ni jeshi gani lilikuwa la kwanza, je ni universal requirement ya majeshi yote duniani?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kumsoma mwanamke sura Kujua au kuweza kumsoma mtu kunaweza kukupa dalili nyingi nzuri zakuweza kumfahamu undani wake kimapenzi. Nywele Changa (HAIRLINE) Zikiwa zimejikunja zinaashiria kuwa u Mtu...
3 Reactions
17 Replies
20K Views
Hakuna hata mmoja anayependa kupokea lawama mara kwa mara, na mara nyingi inategemea ni jinsi gani unavyomjibu yule anayekulaumu, labda utamwambia maneno ya dharau kejeli, matusi au kujibu...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna taasisi iliyoanzishwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo, inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND, hivi inatambulika kisheria na iko chini ya nani? Naofia ya deci na kina...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Tanzania, Sudan na Libya wako bize kuandaa majeshi yaende Comoro , Lakini mbona hiii mipango kabambe inayofanyika inamaana kuwa ilipitishishwa na nani?na mbona suala hili la kupeleka wanajeshi...
1 Reactions
534 Replies
77K Views
Kama ulidhani Afrika ni kinara wa maliasili na rasilimali basi umekosea. Makala hii toka allafrica.com, japo ni ndefu sana itakupa mwangaza wa kutosha kujua ukweli. Na kwa mtazamo wangu ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimechunguza sana na kuona mara nyingi nchi za Afrika hukurupuka na kujiunga na shirika/mikataba/makubaliano yeyote yaitwayo ya Kimataifa bila kwanza kufikiria kwa kina faida na athari zake. Jambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
16 Sep 2012 kupitia Yericko Nyerere Ni takribani miaka 7 sasa tangu taifa la Tanzania limpate kiongozi wake muhimu na aliyekuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba Katika zama zetu za leo kuna janga kubwa linalohatarisha uhai wa jamii ulimwenguni. Mithili ya virusi vinavyoua mwili, janga hili...
14 Reactions
91 Replies
20K Views
mara nyingi kwenye kusoma kwangu sayansi nimekutana na maneno,'assume other terms are constant'. kuna wakati i also assumed so as to proceed with my calculations, "fake calculations". siku moja...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Naomba kama kuna mwenye busara anifahamishe kwetu ni wapi? Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini kurudi nyuma wamezaliwa mkoa wa TABORA wilaya ya MPANDA. Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom