Kutoka Loliondo: Tazama na sikiliza kwa umakini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Loliondo: Tazama na sikiliza kwa umakini

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Invisible, Sep 30, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sikua nafahamu hali ni mbaya kiasi hiki mpaka nilipotizama video hizi.watoto wanalala na ng'ombe na mbuzi kwa kuwa tu tunakumbatia wawekezaji?haya bana
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hivi mie nitumie programme gani jamani mbona hizo picha kwangu huwa zinagoma
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Oct 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
 6. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli hili jambo linasikitisha, linahuzunisha na kukatisha tamaa kiasi cha kutosha. Ni lini mtanzania atapata haki ndani ya nchi yake? ni wapi serikali inayoitwa ya watu inapopata madaraka kiasi hiki yasiyotoka kwa watu wenyewe? tunahitaji kurudi nyuma na kujiuliza mara nyingi!

  Yalitokea hivi hivi kule mara, na team ya Jaji Kisanga ili yaona haya, lakini serikali imeendelea kurudia yale yale!

  Je, watu watanzania wasaidiwe vipi kupata haki yao ndani ya nchi yao? Haitoshi tu kuchangiana katika harusi, ila kwa mambo mazito na ya msingi kama haya!
   
 7. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Unapoweka pesa mbele kuliko vitu vingine - that's what you get.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii nchi imeshatekwa na kikundi kidogo cha watu ambao nao, kwa bahati mbaya sana, ni mawakala wa mabwana wakubwa huko nje. Yanahotajika mapambano mengine ya kuikomboa nchi kutoka katika makucha ya ukoloni mamboleo
   
 9. N

  Nanu JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  How much is one person worth?
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya hii kitu kuipeleka Al-Jaazira, BBC, SKYNEWS, CNN, nk. Kuna siku hawa watu watatunguliwa kwenye ndege zao kama Rais wa Rwanda. Kuna haja hizi video kuja kutembezwa mwakani Tanzania nzima ili hao wanaokumbatia hawa MAFISADI waone wanakumbatia......

  Ningeliweza basi ningelimtumia hadi Barack Obama, Clinton, Al Gore, Mahakama ya Human Right, jamaa wa haki za binadamu wa Helsinki.......
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yaani PINDA kweli Mizengwe. Yeye kila kitu hafahamu na wala hana nguvu. Ukweli unabaki mmoja tu kuwa kama PM hana nguvu nayo, basi hii kitu imetoka juu zaidi na hata niseme NJE kabisa ya Tanzania kuna mtu kashika Remote control.
   
 12. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  This is so disgusting, shameful to our society and government.
  Haya ni mambo ya kipumbavu tu, ndiyo nimesema kipumbavu. How comes serikali unaweza kufanya vituko vya namna hiyo kwa raia wako kisa kulinda ufisadiz wenu kwa huyo mwarabu.

  It's time for all Tanzanians to stand up for the rights of all people. Tusinyanyaswe hivi, this is our country, land.
   
 13. N

  Nagoya Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete alipoingia alikuwa tumaini la walio wengi.
  Imani imeshuka kwako
  Uzalendo umekushinda,
  Shabaha ya uhuru umeipoteza,
  Dhumuni la kuwakataa mabepari, wanyonyaji, mabeberu na majina mengi enzi hizo tuliwaita. Nyie mmewapa majina mazuri eti wawekezaji.
  Wakowapi wakina ananilea nkya, watu wa haki za binadamu mliopiga kelele wakati police wapo choma nyumba na na kuamrishwa kubaka wanawake, mimba nyingi zilitoka na wanaume kuuwawa kisirisiri, kisa muarabu beberu muwekezaji,

  Raisi kikwete hata kama mkataba alisaini raisi Mwinyi omba msaada tunao wanasheria wengi wanaouwezo wa kuokoa ndugu zetu.

  Hii nchi ni ya watanzania sio ya CCM, watu wenye matumbo makubwa na kushibisha kakundi ka watu.

  Jamani nchii hii tunakwenda wapi?? Kwani wale viongozi wa rwanda waliotunguliwa wakafa wote mnawashinda nini? Au kwasababu mnamiliki Jeshi? Hivi jeshi la tanzania na jeshi la Libya jeshi lipi linanguvu? Hivi kikwete na Gadafi ni nani ananguvu jeshini?? Hivi kikwete na Gadafi nani rahisi kung'onlewa? Kama gadafi katoka basi Tanzania tuko mbioni,
  Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania. Naomba kuwakilisha
   
 14. Mama Stan

  Mama Stan Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  maneno yako, yamenifanya nitokwe na machozi....kilichobaki ni kuchapana tu! Kweli tena.
   
 15. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kukaa kimya kwa vyombo husika kunatia shaka tukio zima. Ni bora hili jambo likawekwa wazi na hatua za haraka zichukuliwe. Wananchi hao hawatasahau madhila waliofanyiwa ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
   
 16. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwa kumbukumbu zangu, mgogoro wa Loliondo ni wa siku nyingi. Pori tengefu hili liliuzwa enzi za utawala wa mzee Ruksa. Kama mnakumbuka vizuri, kulikuwa na mgogoro fulani wakati wa kuwahamisha wakaazi wa eneo hilo miaka ya mwanzo ya '90, enzi hizo Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani. Mrema aliwajibu kejeli sana hao wakazi wa Loliondo, walipokuwa wakilalamikia kuhamishwa katika ardhi ya mababu zao kwa nguvu bila utu! Laana hii itatafuna vizazi vyao! Uonevu huo umenisikitisha sana
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kufahamu maana ya ubepari na western civilization (christian or rather supported by christians) ndio hiyo

  Kunyan'anya mali za watu..
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Lakini cha ajabu aliyewapa hao Waarabu eneo hilo la ardhi ni Sheikh Ali Hassan Mwinyi, ambaye ni Muislamu. Na wanaofanya udhalimu huo ni hao Waarabu rafiki zake Mwinyi.
   
 19. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2013
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Natafuta zile picha za Waarabu wa Loliondo. Hapa nimepata video zinazoongelea hali ya huko.
   
 20. A

  August JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2013
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hivi mbunge wa eneo hilo ni nani? iko haja ya wabunge wote wa Arusha na Manyara kushirikiana na kuona mali zao hazi chukuliwe kwa kigezo cha serekali kuwa na haki zaidi kuliko hao raia walio iweka hiyo serikali madarakani.
   
Loading...