This is alternative two which will lead to complete revelation of a person who uploaded the Lwakatare video, http://www.youtube.com/watch?v=dfgeZZhg724 on Youtube apart from metadata technology...
Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA...
Wakuu tumekuwa tukujiuliza haya matukio yasiyo ya Kitanzania yatoka wapi?
Tunajua vyombo vetu vya usalama vinaweza kuwa na habari hizi(ambazo hata kwenye mtandao zipo), lakini kwa nini hatua za...
UFISADI MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO UNATISHA
PAMOJA NA MALENGO (MISSION) MENGINE YA NCAA LENGO MOJAWAPO NI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UTALII ILI KUBORESHA HUDUMA ZA KITALII...
Hivi jamani madini kama dhahabu, almasi, shaba, chuma n.k. yalipatikanaje hapa duniani?(i.e. How were/are they formed?). Maana Nchi kama Tanzania ina dhahabu, almasi, uranium na madini mengine...
Source: USA Today
Rep. Walter Jones, R-N.C., suggested to a libertarian group that former Vice President Dick Cheney will likely end up in a fiery place for his role in the Iraq War.
"Congress...
If it hit, the asteroid would release a 2.4-million-ton explosion and wipe out 750 square miles
150-foot asteroid will buzz Earth, no need to duck
CAPE CANAVERAL, Fla. (AP) -
A 150-foot-wide...
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anatakiwa awe anastaafu leo kwa mujibu wa sheria. Ametumikia chini ya Kikwete tangu miezi michache tu baada ya Rais Kikwete kuingia madarakani. Chini ya uongozi wake...
Uganda, Kenya, Tanzania has been battling with corruption especially among government officials. Which country do you think has the most corrupt officials.
Nchi ya Tanzania ni sawa na Marekani( sio kiuchumi japo inawezekana) najaribu kujenga hoja binafsi wanaoniunga mkono karibuni na wanaonikosoa pia karibuni.
Kihistoria kabla ya wazungu kwenda bara...
Marekani inazalisha kwakiasi kikubwa mahindi asilimia 40% ya mahindi yote duniani yanalimwa marekani kuna corn belt michigan,illinois,kentucky na kwingineko matumizi makubwa ya zao hili ni kwa...
Utajitambuje Kama Una akili??
KWA mujibu wa Mwanasaikolojia mwenzangu Howard Gardiner aliandika kuwa binadamu wanatofautiana kiakili kila binadamu anauwezo wake katika kufikiri.
Sasa ndugu...
Wadau nimejalibu kufuatilia na kufuatiliana masuala ya kufa na kuzaliwa
KUZALIWA
mana kwa takwimu mbalimbali inaonyesha watu wengi hujifungua hasa nyakati za usiku kuanzia mida ya kumi jioni...
Would you be surprised to hear that the human race is slowly becoming dumber, and dumber? Despite our advancements over the last tens or even hundreds of years, some experts believe that humans...
Wakati Rais Mkapa anahiburia na kuipigia chapua CUF mwaka 2000 kuwa ni chama kiislamu na matokeo ya vifo Zanzibar na sintofahamu kibao na kadhia iliyowakumba mashkhehe na kunganika ni kile...
naiomba serikali iweke takwimu juu ya idadi ya tembo tunaopoteza kwa njia ya ujangili,kwani wanyama hao idadi inapungua kila kukicha na hatuoni serikali yetu ikichukua hatua yeyote kudhibiti...