Kwa takribani muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali humu Jf. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu juu ya mambo mbalimbali kuhusu harakati zetu sisi watanzania nimekuja kutambua...
Sydney Anne Bristow (amezaliwa tar. 17 Aprili 1975) ni jina la kutaja muhusika mkuu katika mfululizo wa nadharia hai ya KGB, Uhusika umefantwa na Jennifer Garner. Yeye ni mwanamke wa Kimarekani...
Haya maisha ya ajabu kitufulani kizuri ukiwa hauna unakitamania lakini ukikipata hicho unakiona cha kawaida .Kipindi kilichopita nilidhani nikifika kiwango fulani cha maisha ni ta enjoy sana...
The knights of Malta, ni kikundi cha kanisa katoliki ambacho kilianzishwa kipindi cha middle ages. Ukiangalia classification yake kimegawanyika katika makundi makuu 3 kama nilivyo quote hapa...
Mpaka leo officially sijui ni nani alilipa mabomu yale ya Soweto na pale kanisani Olasiti!
Je kijana Ambrosi kesi yake imeishia wapi?
MODs heshimu free speech!
Moja ya jukumu kubwa la wanajeshi ni ulinzi wa mipaka ya nchi na hasa kukabiliana na uvamizi wa kijeshi kutoka mataifa mengine
Hata hivyo ni ukweli kuwa nchi yetu kuingia vitani ni tukio la nadra...
Ndugu wana jf nashawishika kuamini hawa kina sheikh ponda na wenzake wanajua ud.dhaifu wa Rais kikwete ndo mana fujo zote wamezileta kipindi alipoingia madarakani. Nani aniambie kipind cha benja...
Two competitors, Both are well prepared with equal chance, Is win/loose God's will ? I believe it is coz if He want you to win definetely you can't loose and this goes along with my second belief...
Umaru Dikko wakati huo akiwa waziri wa uchukuzi nchini Naijeria
Umaru Dikko alivyo sasa
Mkasa mzima huu hapa...........
Huyu alikuwa ni Waziri wa uchukuzi katika serikali ya Naijeria...
Kila siku ni TISS tu ina maana tanzania tuna idara moja tu ya usalama??? Hivi hawa wakizidiwa inteligensia nani anawa back up??
Kuna idara ngapi???
Hivi idara gani ina utaalamu wa mambo ya...
IN EAST AFRICA ESPECIALY KENYA,TANZANIA AND UGANDA, KUNA PUBLIC FIGURES AMBAZO NI VYEMA WANANCHI WA NCHI HIZI TATU WAWAFAHAMU......KATI YA WATU HAO JOSEPH KONY WA UGANDA NI VYEMA WOTE...
Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana...
Ivi kwa nini idadi kubwa ya wachawi ni ni wanawake wengi hususani wazee na siyo wanaume kuna uhusiano gani hapa na je? Kwa nini vichaa wengi ni wanaume kuliko wanawake hili ni duniani kote?
Habarini??
Nadhani wengi wetu mmekwisha sikia hii habari ya chumaulete hasa kanda hizi za pwani kama tanga na pwani
Hivi majuzi nilikwenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anakibanda cha Mpesa...
wana JF, katika utafiti wangu mdogo, nimeona kuwa kuna watu wanaopendwa sana nje ya familia zao na kuonekana wakarimu, watoa misaada ... mara nyingi hawako hivyo ndani ya familia zao. Japo ni...
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip? ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?
Nionavyo mimi, watanzania wengi ni waoga wa utafutaji maisha. Wengi wanapenda maisha ya dezo...kukaa tu na kusubiri kufanyiwa michongo au maisha ya gwelele. Wanapenda vitu vikubwa na masifa ya...
Habari wana inteljensia.
Naomba kufahamu sababu ya
1. Kwa nini bullet proof inavaliwa kifuani tu na kuacha kichwa kikiwa vurnerable na risasi?
2. Kwa nini mtu anae shoot mara nyingi analenga...
By Kelsey D. Atherton | Jan 22, 2014
Modular Advanced Armed Robotic System (MAARS)
MAARS is a remote-controlled gunbot. It can be fitteed with machine guns and...
habari za leo wanaforum sasa katika hii THREAD tujaribu kumshauri Rais wetu MUH. JAKAYA M.KIKWETE, tuongelee yale ambayo hawezi kuyaona kwa sababu bunge liko hoi,
yanafanywa na watendaji...