Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Dear All, There are various messages going on the social media with regards to terror alert. SURAKSHA TEAM had also issued a similar statement prior to the massacre in Kenya. It is very...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Climate Engineering, Weather Warfare, and the Collapse of Civilization
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Salaam wandugu! Kuna kitu mimi huwa kinantokea kila mara(karibu mara 5 kwa wiki). Ni hivi huwa mara nyingi inapofika usiku kuna muda nkiangalia saa nakuta ni muda ule ule,yaani kama ni saa tatu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeperuzi nyuzi nyingi nimeona nchi yetu iko juu sana, at least top 30 (to be fair, hatuwezi kuwa wakwanza) duniani kwa most dangerous special forces in the world, especially baada ya...
4 Reactions
47 Replies
11K Views
Wadau, naomba tuelimishane juu ya namba 12. Naona inajirudia kwenye mambo kibao yenye umuhimu kimaisha na kidini. Ni nini kitu maalum kuhusu hii namba? Hapa kuna Mifano. 1. Mwaka una miezi 12 2...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wana jamvi? Paka ana nguvu gani katika mambo ya kishirikina ( uchawi) ?
0 Reactions
57 Replies
21K Views
jee kuna utaiti
1 Reactions
56 Replies
10K Views
Wakuu hii kashfa ya MAMA salma na Dada yake kabila ningependa ijadiliwe, tena kama hoja binafsi Kwanza. Ndugu zetu mnaokaa Dar es Salaam hususani MIKOCHENI, ningependa mtujuze ni kweli maduka...
2 Reactions
73 Replies
9K Views
Mauaji ya aina yoyote sio jambo la kufurahia, haijalishi aliyefanya mauaji hayo kayafanya kwa dhumuni gani...kila mmoja wetu ana haki ya kuishi na kuabudu kwa amani na bila kubughudhiwa na mtu...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Najua wengi wataniona labda chizi,huwa najiuliza hili swali sipata jibu.Wengine wanasema kuna maisha huko kaburini,sijui adhabu ya kaburi, mtu anabanwa mbavu,wengine wanasema roho inaenda...
0 Reactions
65 Replies
22K Views
Na Mwandishi wetu 6th December 2009 Mhashamu Methodius Kilaini Baba Mtakatifu, Benedicto wa 16, amemhamisha Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu...
0 Reactions
108 Replies
27K Views
It has happened to me several times. Ni hivi, I may be sleeping hata kwa mda mfupi. Ghafla nahisi Kama nimeishiwa nguvu kabisa usingizini. Najiona Niko helpless na in the process nakuwa na woga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa takwimu ambazo hubadikikabadilika kulingana na mazingira, watu 150000 hufariki kila siku hapa duniani au kwa maana rahisi kila sekunde moja watu wawili hupoteza uhai. Kifo umekuwa ni gumbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi everyone. Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa...
13 Reactions
139 Replies
23K Views
wana intelligence huku Rungwe jama gari za jeshi ni nyingi mno, kuna malori zaidi ya JWTZ ZAIDI YA HAMSINI yanaelekea kyela kunani wadau, wenye taarifa kamili mtujuze..
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarg Za Muda Huu Wadau. Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada. Miongon Ma Maswali Nilio Kosa Majibu Nkuhusu Nguvu Iliyokuwepo Kwene Macho Ya Binadamu Anapo Mtazama Mtu Na Kumdhuru Au...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Kama kichwa kilivyo..... Nipo nawaskiliza....
0 Reactions
0 Replies
987 Views
hivi huwa wanaangalia nin kwenye DNA had kujua ukwel wa baba mzaz?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani. Napitia bible kila siku, na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula. Je ni mti gani maana nikijenga...
0 Reactions
88 Replies
24K Views
Je, unakijua kipaji au vipaji vilivyopo ndani yako? Moja ya swali ambalo watu wengi huwa wanauliza ni jinsi ya kugundua wao wana vipaji gani.Wakati wa utoto unaweza kuwa ulionesha vipaji vyako...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…