Awali ya yote hii mada inawahusu wenye kuamini uwepo wa mungu,
Napenda kuwasalimu enyi viumbe wenye asili ya udongo hamjambo?
Hivi mnajua kuwa asilimia kubwa ya kizazi chetu tumejaa lawama...
TOLEO MAALUM – APRILI 2025
JE, KUNA DALILI ZA MAKUSUDI ZA KUHUJUMU UTHABITI WA TAIFA LETU?
Katika kipindi ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa za kimkakati katika ujenzi wa miundombinu...
Mates,Moja kati ya maswali ambayo hua najiuliza kila siku ni je ikitokea leo nikaondoka je jamii iliyonizungukai tanikumbuka kwa yapi? Je dunia itanikumbuka kwa lipi/jambo lipi nililoitendea? au...
Mnamo 1972, mwanasayansi wa Ufaransa alijifungia kwenye pango la giza totoro futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180. Hakuna mwanga. Hakuna saa. Hakuna mawasiliano ya kibinadamu. Alitaka kufichua...
Melkizedeki ni nani?
Neno la Mungu linatuambia katika 1Timotheo 3:16 kuwa “bila shaka siri ya utauwa ni kuu.” Au kwa lugha rahisi Neno hili tunaweza kusema “bila shaka siri ya Uungu ni kuu; Hii...
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali...
Personal experience
Sept mwaka jana ilikuwa mara yangu ya kwanza kukanyaga ardhi ya Marekani. Kuna vitu viwili-vitatu nikuwa navifanya pale Arlington City, Washington DC.
Nikiwq nakatiza mitaa...
FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia...
Katika dunia inayobadilika kila kukicha vijana wa kiafrika wanahitaji zaidi uhuru wa ardhi-wanahitaji ukombozi wa nafsi.
Kalooism ni mtazamo wa falsafa mpya ambayo ina amini kuwa uhuru huanza...
Mtafiti Huyo ni :Nelson Jacob lushasi .
Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani...
Swali la kwanza:
Kwenye kitabu chako cha Qur-an, unasifia kuwa ni kitabu ambacho hakiwezi kubadilishwa maneno yake na maudhui yake Abadan Abadan, je ilikuwaje ukaanza na kushusha kitabu chako cha...
Ni muhimu kukumbuka yafuatayo wakati wa sherehe hizi za Pasaka.
1. Hakuna Injili inayosimulia kinagaubaga mambo yote yaliyotokea siku ya ufufuko wa Bwana. Injili zote zina sifa ya kuwa historia...
Nimeshindwa kupata neno zuri la kichwa cha habari kitakachoendana na maudhui hivyo nimeamua kutumia hicho cha kiingereza.... Naomba radhi kwa watakaokwazika...!!!
Kabla sijaendelea naomba nitoe...
A popular saying in Vatican circles is that if you “enter a conclave as pope, you leave as a cardinal.”
It implies the sacred and secretive process is no popularity contest or campaign, but...
(1.) According to the Holy Bible, there once was an angel named *Lucifer (now called Satan) who was designed and created by the Most High Jehovah God Yahweh. (Ezekiel 28:12-15) He was not born...
Kwanini Shetani ni joka wa zamani?
Shalom, ni kwa neema za Mungu wetu tumeliona tena jua leo..wapo ambao hawakupata nafasi hiyo, hivyo hatuna budi kumshukuru sana Mungu wetu. Karibu tujifunze...
Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu...
HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.
Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya...
SALUTE COMRADES
Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria...