Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
pengine labda sijaisoma vizuri biblia na kuielewa na ndio maana nimekuja hapa kuuliza wabobezicwa mambo haya ya 'elimu ya Uungu' kuwa maji, giza, Nuru, na upepo viliumbwa siku gani kati ya zile...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Huenda baba wa mauaji duniani tunamjua anaitwa Kaini Baba wa usaliti duniani anajulikana Baba wa chuki duniani anajulikana Sasa Je nini chanzo cha magonjwa duniani Kwa nini tunakuwa wagonjwa na...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
EXCLUSIVE: Great Lakes Region on Brink of War Amid ‘Museveni Assassination Plot’ By Kim Aine Posted on August 1, 2018 Special Forces guarding President Museveni's plane at Entebbe Airbase On...
10 Reactions
150 Replies
19K Views
Kuna aina mbili za mapacha ambazo ni mapacha walioungana na mapacha wa kawaida Pia unaweza kusema mapema wanaofanana na mapacha wasiofanana Sasa mimi nalenga kuwazungumzia mapacha wa kawaida ambao...
6 Reactions
48 Replies
13K Views
Habari za asbuhi wana jukwaa moja kwa moja niende kwenye mada husika. UTANGULIZI Mfalme menelik II a.k.a Dagmawi sahle maryam menelik alikuwa mtawala wa Ethiopia kati ya 1889 hadi 1913 ambapo...
12 Reactions
66 Replies
12K Views
Salaam wakuu, Leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una...
3 Reactions
86 Replies
21K Views
Kwa ufupi tu Malkia Candace Amanirenas ama KENDAKE alikuwa malkia wa ethiopia ya kale yaani KUSH EMPIRE ambayo kwa kipindi hicho utawala wa meroe ulikuwa Sudan ya sasa. Alitawala kuanzia 40 BC...
32 Reactions
175 Replies
28K Views
Habarini, Katika pitapita zangu za kujua vitu nikakuta hii kitu kuhusiana na dunia kutokuwa ni duara na ni tambarale pia haizunguki katika muhimili wake kama tulivofundishwa huko shule za awali...
15 Reactions
283 Replies
36K Views
Katika harakati zake za maisha tangu siku yake ya kwanza, binadamu amepitia mambo mengi ya kijamii na kiuchumi. Moja ya mambo hayo ni Vita, kwa wanahistoria Kuna Vita nyingi maarufu na zisizo...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii sherehe ilihurudhuriwa na viongozi wakubwa wa nchi za Ulaya. Kukafanywa maonyesho makubwa sana lakini hata kama tunasema ni sanaa lakini hii mimi sijaielewa kabisa, maana hakuna...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda sasa, Wanasayansi wanadai Jua ni moja kati ya nyota zinazoipatia mwangaza na nishati Dunia. Wanaendelea kudai Jua limesimama wima na Dunia iko kwenye...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Ndugu wapendwa Sikukuu za kidini na Sikukuu nyingine zinazopendwa na watu wengi ambazo husheherekeawa sehemu nyingi za walimwengu Leo,hazikutokana na Biblia.Basi, Sikukuu hizo zilianzia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu! Je, UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI!? TAFADHALI FUNGUKA!
5 Reactions
251 Replies
53K Views
KUTANA NA JEAN BEDEL BOKASSA, RAIS ALIYEPENDA STAREHE KULIKO WOTE AFRIKA KATIKA UTAWALA WAKE. Miongoni mwa watawala waliokuwa na visa na vituko vingi katika bara hili la Afrika ni mfalme wa...
16 Reactions
76 Replies
40K Views
Kama ulishawahi Ku notes kuna baadhi ya watu akiwa amekaa katulia anaanza kutingisha miguu/mapaja Wataalamu wa mambo je hii ni Mechanism gani?
0 Reactions
61 Replies
14K Views
Wakuu kama mnavyojua wahalifu ni sehemu ya jamii hata hapa jukwaani wamejaa tele Sasa nataka kuelezea kwa ufupi tu matukio na wahalifu waliowahi kufanikisha wizi mkubwa kwa weledi uliotukuka...
7 Reactions
37 Replies
10K Views
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development...
16 Reactions
195 Replies
24K Views
salam wan jf kwa wenye uwezo wa kureason naomba kupewa maana halisi ya neno roho na inamuingiliano gani na akili? na je viumbe vyote vina roho??
1 Reactions
60 Replies
17K Views
Mnamo mwaka 2011 serikali ya Marekani kupitia raisi wake Barack Obama ilithibitisha kwamba May 2 ya mwaka huo kikosi maalumu cha maangamizo kilifanikiwa kumtoa kwenye uso wa dunia adui namba 1 wa...
6 Reactions
25 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…