Hivi mfano umeshika madaraka makubwa kabisa ktk jamii,unaweza sahau makoloni ya zamani,maana naona Trump wamemtaiti...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Penzi LA ujanani huwa halisi haliitaji fedha enzi za shule au vyuo,sasa ikitokea umeukwaa ukuu unaweza wasahau kwa kigezo cha kuwa ni Mali ya Wengene au utawasaidia nao waonje ukarimu waliokutendea miaka mingi iliyopita.

Maana naona Trump waandishi wanaibua makoloni yake ili alipe fadhira,Afrika hali ikoje,waandishi mpo akina shilawadu a.k.a Sudi brown hahah.

Instagram;kaukwaju
 
Back
Top Bottom