MODS KUWENI NA UVUMILIVU,HII NI MIJADALA MUHIMU KATIKA KUWEKANA SAWA KUHUSU HAYA MAPOKEO KWA MTU MWEUSI KUTOKA UGHAIBUNI..
Kumbukumbu la Torati 28:53
53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe...
"Ili kuwazuia wasiweze kufikiri kwa makini hasa,tutazivutia hisia zao kwenye burudani,michezo,mapumziko,misisimko na makasri ya watu.Vivutio vya aina hiyo vitayaondoa mawazo yao kabisa kutoka...
Kifo kimebaki kuwa siri nzito kati ya yule aliyepata umauti na mola wake kwa sababu moja tu kwenye kifo hakuna uhai unaoweza kumfanya yule aliye mfu kusema yale anayoyaona mara tu baada ya kifo...
Nimekua nikitizama movie series za kimarekani (mathalani ukichukulia mfano movie kama 24 ya Kieffer Sutherland almaarufu Jack Bauer, au Shooter ya Bob Lee Swagger).
Unakuta kuna kikundi flani...
Jeff Bezos alifanikiwa kumpiku tajiri namba moja wa muda mrefu Bill Gates baada ya thamani ya utajiri wake kufikia dola bilioni 90.08. Hizi zimekuwa habari mpya na za kushangaza kwa wengi kwa kuwa...
katika nchi yetu kuna mgawanyo wa majeshi yetu. kuna jeshi la anga, la nchi kavu na jeshi la majini.
hiki kikosi maalumu cha majini makao makuu yake kipo kigamboni hapa Dar es salaam.
hivi kazi...
Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani.
Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake...
Greetings!
"..hauna akili..! " well, japokuwa ni tusi, lakini ana maana gani huyu mtu? sidhani kama ana maana hauna ubongo. Lakini akili ni nini haswa? ubongo ni kitu cha kuonekana na...
Salaam kwa wote,
Binadamu tumekuwa tukijihusisha na kufanya maombi kwa namna mbalimbali yenye malengo tofauti kutokana na mahitaji ya muhusika.
"Kuna kitu mahala hapo" nje ya uwezo wetu na namna...
Hii iña maana ya kuiongoza dunia kama Serikari moja ña kuwa na rais mmoja tu dunia nzima.
Hukutanikia Roma Vatican,Kiongozi mmoja mmoja wa kidunia yaani marais hudhulu Roma ikiwemo marais wa...
1.Anna Chapman maarufu kama Anna Kushchenko
Umri miaka 31
Alikuwa jasusi wa Russia akitafuta habari mbalimbali dhidi ya Marekani hususani shirika la ujasusi la Marekani (CIA) ambalo ofisa wake...
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia tu hawa viumbe wanaitwa Aliens wanalivyo na uwezo mkubwa wa Akili na inasemekana kuwa mataifa makubwa hasa Marekani na Urusi kuwa wana vituo vikubwa kwa ajili ya...
Habarini Wote,
Ninashiriki nanyi tafsiri hii kutoka kwenye kitabu 'The Art of Dying' cha OSHO, sura ya kwanza: Know How to Live (Jua namna ya Kuishi); nikiwa na imani ya kwamba kufanya hivi...
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi).
Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi...
Wanabodi salaam! Neno uzalendo limekuwa likizungumzwa sana hasa na wanasiasa lakini hatupaswi tu kuwaachia watu wa tabaka moja kuzungumzia Jambo hili.Uzalendo NI zaidi ya UTAIFA,Kila Mtu ataungana...
June 9, 2013 mkurugenzi mkuu wa Nationa Security Agency (NSA) James Clapper akiwa kwenye kikao cha siri na maafisa wa juu wa usalama wa Marekani alifungua kinywa chake na kusema "His crazy...
Sidhani kama huu uongo na upotoshaji bado unafundishwa kwenye shule zetu kwenye somo la historia....
Sisi tulifundishwa na kuaminishwa kuwa asili ya mwanadamu ni mnyama nyani.... Ni katika...
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za...
Natumaini wote wazima humu jamvini
Bila kuchelewa naona niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kwanza kabisa nianzie hapa kutokana na matukio mengi ya kigaidi yanayofanywa na vikundi vya...