Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kuna mambo manne ambayo Yanapatikana duniani kote kwa asilimia kubwa kabla hata hatujaingiliana (globarization) 1:Watu kuabudu wafu katika desturi zao. Desturi hii utaikuta utaikuta australia...
14 Reactions
83 Replies
20K Views
Habari za jioni wana JF intelligence, natumaini wote wazima humu. Na kama kawaida nitoe angalizo kuwa mada ni sensitive sababu linagusa pia imani za wengine hivyo ningeomba tusome kwa makini...
12 Reactions
192 Replies
27K Views
Wasalaam JF members[emoji1538] Moja kwa moja kwenye mada, ila kabla sijagusa mhimili wa mada niweke misamiati hii sawa kwa kiwango cha upeo wangu (siyo cha BAKITA) Tafsiri ya haya maneno: 1...
4 Reactions
26 Replies
11K Views
MALAIKA NDANI YA KIWILIWILI CHA BINADAMU Desemba 1994, Rapa Tupac Shakur alihukumiwa kifungo jela kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka minne na nusu. Kosa likiwa kumnyanyasa kingono mwanamke mkazi...
51 Reactions
55 Replies
13K Views
Habari wanajf! Ndugu zangu,sisi wengine elimu zetu za STD 7 lakini hazituzuii kufikiri kuliko kawaida.Wanasayansi njooni hapa 'mtupakulie' maajabu ya huu ubongo kama ifuatavyo: 1.Kitendo cha mtu...
6 Reactions
62 Replies
15K Views
Rédoine Faïd, picha ya mwaka 2010 Jambazi sugu aliyekuwa akisakwa nchini Ufaransa alifuatiliwa nyendo zake na polisi kwa njia ya simu na alikuwa akitumia burqa kujiificha, waendesha mashtaka...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina imani humu Jamii forum kuna wajuvi wengi sana , Leo sijaja na maelezo mengi sana bali nimekuja tu na maswali haya machache wajuvi wanaojua waje wanijibu , Je ni kweli kwamba mtu akiuawa basi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Habari zenu. Katika pita pita zangu, nimekutana na hii kitu kwakweli nimeshindwa kuelewa kabisa. Kuna mambo ya Schrodinger's cat, kwa kifupi inasemekana huu ulimwengu tuliopo kuna...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
For centenaries,inquiries concern Godhead existence have been debated by philosophers,theologians,and even scientists In debate between atheists and theists,accusation of bias, Contemptuousness...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time...
15 Reactions
159 Replies
17K Views
Ngono Maana: Tabia ya viumbe wa duniani ambayo ni njia ya kuzaana kutokana na wazazi wawili. Tofauti kati ya jinsia ya kiume na kike huleta mabadiliko mengi katika maisha ya wanadamu. Kwa kuwa...
11 Reactions
63 Replies
21K Views
Kanuni za Akili na Ulimwengu Kanuni ya nne - Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha Wewe ni Kama Sumaku Inayoishi. Maisha unayoishi hivi sasa hayajaachana na ulimwengu...
8 Reactions
22 Replies
10K Views
Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajukwaa la siasa,habari za jioni. Naomba mnijuze kuhusu tofauti ya maamuzi ya kisiasa na kisheria. Mfano,wiki iliyopita,mh m bunge wa Kigoma,Zito R. Kabwe,aliita waandishi wa habari na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
“Know yourself is beginning of all wisdom” <Aristotle> 1. MWANZO Kwanza ningeliweka wazi hili suala kabla ya kuendela na makala hii fupi Ijapokuwa magonjwa ya akili ni magonjwa tu kama...
39 Reactions
73 Replies
19K Views
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu...
37 Reactions
754 Replies
56K Views
English Audience. Hero Syndrome is the condition where a person will intentionally create a dangerous situation just so they can "be a hero" and resolve it.The phenomenon has been noted to affect...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Unajimu na Kubashiri—Je, ni Njia Sahihi za Kujua Kuhusu Wakati Ujao? UNAJIMU Unajimu ni aina ya uaguzi inayotegemea imani ya kwamba nyota, mwezi, na sayari huathiri maisha ya wanadamu duniani kwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
KIDON, KITENGO CHA SIRI CHA MAUAJI NDANI YA SHIRIKA LA KIJASUSI LA MOSSAD, ISRAEL KIDON ni kitengo ndani ya Mossad chenye jukumu la kufanya mauaji dhidi ya wale wenye kuhatarisha usalama wa...
19 Reactions
34 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…