Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Muone mwenyewe





The challenge...



Follow up...

Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo zinaleta upungufu kwenye kinga ya mwili, na ukishaanza tu kutumia, ukiacha unaumwa hadi kufa, alizipiga marufuku, na hapo ndipo makampuni yanayotajirika kuuza hayo madawa yakaungana na kumpindua?

THABO MBEKI ANAONGEA ALIPOKUA RAIS



Kwenye Video inayofuata hapo chinj, Mbeki anasema kwamba, ugomvi wake na makampuni ya madawa ulikuwa ni mmoja tu, nao ni juu ya 'Upungufu wa kinga mwilini' jinsi unavyompata mtu, yeye anasema ili mtu asipate huo upungufu inabidi mtu ale vizuri, afanye mazoezi na atbiwe ugonjwa wowote alionao hadi upone kabisa, iwe T.B, iwe kuhara, iwe infection au chochote kile; lakini makampuni yalimwambia watu wasifanye hivyo, wapewe ARV; ambazo daktari wetu hapo juu anaamini ndizo hupunguza kinga in the first place, na ukishazitumia, ukiacha utaumwa hadi kufa. Na kwakuwa daktari hapo juu anasema vile vipimo vya 'HIV' havipimi virusi vya ukimwi, bali vinapima chembechembe ambazo mwili huzalisha pale unapokuwa unaumwa magonjwa mbalimbali kama kifua kikuu, kuhara nk., hivyo ukipima HIV ukiwa mgonjwa, kuna uwezekano ukapata 'false positive', ambayo itasababisha daktari wako akupe ARV ambazo ndizo zitapinguza kinga na kuwatajirisha makampuni ya madawa. Mjadala uendelee.


=====================================

Hii video inayofuata ina dakika 25 tu, lakini its priceless, angalia yote kabisa, kwa utaratibu na umakini, nakuapia hutaamini utakachokiona, trust me...!


===============================
Pakua na usome kitabu chake hiki BURE!

================================
UPDATE: 30/07/2018 TANZANIA FOODS & DRUGS AUTHORITY LEO IMETANGAZA UZINDUZI WA MRADI WA KUKAGUA MADHARA YA DAWA MBALIMBALI ZINAZOTUMIKA NCHINI.
------- JE ARV ZIMO?
 

Attachments

  • HIVAIDS-GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdf
    19.1 MB · Views: 167
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom