sijui kama umewahi kujiuliza swali kama hili...kwa nini masokwe wana HIV lkn haiwamalizi kwa aids kama binadamu?
jibu ni hiv is benign...i.e haina madhara
lkn kama hiv is benign mbona wanasema ina...
jamani ni kama wiki ya pili sasa mdomo wangu unatema kichiz,naswaki mara nne kwasiku bt wapiii nisipoongeaongea lisaa tu aisee! harufu mbaya sana inatawala mdomoni,sasa inanitesa naenda hospital...
habari wana jamvi, mke wangu ni mjamzito wa kama miezi mitatu na nusu hivi, cha kushangaza na mimi nimeanza kupata hali ya kupenda vitu vya ajabu, nachagua chakula, napenda sana malimao na...
First Human Who Can See In The Dark Stuns Medics
A young Chinese boy who was born with beaming blue eyes has stunned medics with his ability to see in pitch black darkness.
Nong Yousui from...
​
Kufuatia kichwa cha habari kilichopo hapo juu, nachukua fursa hii kutoa Historia fupi ya Kijana huyu anako toka na jinsi ugonjwa alionao ulivyo gundulika mpaka hivi sasa.Zuberi Mgeni...
Wale wanapenda kukaa na simu kitandani.
Wataalamu wanasema sasa kuna gonjwa jipya linaitwa 'sleep texting' linaathiri quality ya usingizi na afya kwa ujumla. so be warned... Baada ya sleep...
Wapendwa habarini za muda. Napenda niulize kwa wale wanaofahamu hususani mtaalam wetu Baba MZIZI MKAVU. Ni nini FAIDA na HASARA ya hiki kitunguu ktk miili yetu, hasa tunaokitumia kama dawa.
Heshima mbele,
jamani toka jana nasikia kichefu chefu cha ajabu sana.najua wapo watakao sema ni mimba lakini sina mimba nina uhakika na pia malaria sina.sasa sijajua hichi kichefu chefu kinatokana...
napenda kuuliza inawezekana dactari msaidizi yaani [AMO] assistant medical officer kuijunga na chama cha madacktari,na taratibu za kujiunga ziko je? naomba kuwasilisha
Tangu kuingia kwa dawa za kuvubaza VVU (ARVs) kumeripotiwa kuwepo kwa mafanikio makubwa katika kuboresha afya za watu wanaoishi na VVU kwa kusaidia kupunguza idadi ya VVU na kuongeza idadi ya...
Naomba kupata mawazo ya wana jf juu ya kuwa na daktari wa familia,je ni sifa zipi awe nazo?je awe kijana au wa makamo ,awe mwanamke au mwanaume na faida na hasara zao ni zipi?
Heshima Mbele Wadau, nina mtoto wangu anasumbuliwa na kigugumizi kwa muda sasa, tagu azaliwe amekuwa na tatizo hili na anapata shida sana wakati wa kuongea, umri wake ni miaka 3.
naombeni...
Nina kauvimbe kwenye jicho, sio jipu , hauwashi wala haumi, ila unanikera sana kuungalia.
Uvimbe huu huwa unajitokeza na kupotea mara nyingi ila kwa sasa uko kwa muda mrefu. Ni zaidi ya wiki tatu...
COLD WATER - Body has to expend energy to warm up water in order to use it. Helps to cool down the body after workout/exercise. Constricts blood vessels, this reduces hydration and absorption...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.