Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

tupo wtoto wanne katka familia yetu but mmojawetu ambaye ni dada yetu mziwanda ameambukzwa virus toka kwa mama ambaye sasa ni marehm. kwakwel toka nimchukue baada ya mm kumaliza chuo na kupata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
eti kuwa kuna join istruction ya chuo imetoka na jinsi ya kupata admission latter
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Naombeni ushauri,mwili wangu hua unajoto ambalo nahisi alipo kwenye level yake, kwani hata marafiki na ndugu zangu ua wananishangaa sana. Mie ni mweupe lakin kama nikitembea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu, Naomba kufahamu. Naelewa kwamba kuna wanawake wana 21 days za Mp cycle. Hivi inafanyaje kazi? Siku gani ni za hatari na zipi ni safe? Ana tofauti gani na mwanamke mwenye mzunguko wa siku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF.. Mke wangu anaumwa sana kichwa tangu jana usiku.... Wiki iliyopita (Ijumaa) alienda hospital kwa ajili ya family planning, akatumia njia ya sindano. Sasa sijui ndo dalili za dawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi ni wiki ya pili sasa kila nnapokula chakula cha usiku dude hailali kabisa juz nilianza kwanzia saa tatu mpaka saa sita lakini nilihisi namumza mwenzangu ikabidi niache ila bado skuwa nimechoka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jamani naomba mnisaidie dawa ya kuongeza dushelele kwani watu wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta dawa hiyo ila wengi wamekuwa wakidanganywa kwa anayejua anifahamishe kwani wana shindwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A preliminary review of individual reports strongly suggests that high-dose vitamin D may be one of the most effective treatments yet discovered for irritable bowel syndrome (IBS) ====== Watu...
2 Reactions
5 Replies
10K Views
Nahitaji kujua dawa ya kuondoa weusi wa pembezoni mwa mapaja
0 Reactions
10 Replies
17K Views
jaman mim mtaimbo wang unasimama dakika chache na kusinyaa kwa muda mfupi tu, hata kama nina demu bado hali ni hiyo hiyo. jamani nisaidie hali hii inasababshwa na nini? na nifanye nini kuondoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Foods we eat in America that are banned in other countries.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIDONGE VYA AINA 9 VYA HATARI VINAVYOUZWA KWENYE MADUKA YA MADAWA VINASABABISHA UGONJWA WA KUCHOKA MWILINI USIOKWISHA.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Acid Reflux Acid Reflux means a condition in which the acids in the stomach rise up into the esophagus because the valve that separates the stomach contents from the esophagus is faulty. At...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua,je unaweza tambua uzto wa mtoto tumboni kwa kutumia kifaa hicho? Wanapata ukubwa wa mtoto,je uzito?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
waungwana,habari zenu.? mimi nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana ila kwa sasa najifikria kumuacha kwasababu ifuatayo: KATIKATI YA TENDO YEYE HUKOJOA...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Umri ni kigezo kikubwa kinachoweza kusababisha mabadiliko katika ngozi. Mabadiliko makubwa zaidi huonekana wakati wa kuelekea uzeeni, ambapo huanzia miaka 40 na kuendekea. Katika kipindi hiki...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Wakuu tusaidiane sababu na tiba ya hii kitu...unaamka asubuh gafla unajikuta una viupele ving kwenye lips au pembezon mwa mdomo...je nifanyeje ili nisipatwe na hii ari?ahsanten
0 Reactions
Replies
Views
Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo. Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza. Hata kama hajala...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa std)...nikajitbia na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
heshima zenu wakuu, nina mtoto wa miezi mitano na nusu leo ni siku ya tatu ziwa la mams yake halitaki kabisa ila ukimpa ile chupa ya kunyonyea watoto ananyonya vizuri tu! msaada wenye utaalam...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom