Joachim Mabula
Member
- Mar 12, 2009
- 87
- 109
Makala mpya inayohusu virusi hatari >>> http://www.fikrapevu.com/hpv-virusi-hatari-zaidi-kwa-wanawake/
Makala mpya inayohusu virusi hatari >>> HPV: Virusi hatari zaidi kwa wanawake! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
HPV ni kifupi cha maneno Human Papilloma Virus. Virusi vya HPV ni kundi la virusi lenye aina zaidi ya 150 ya virusi vinavyohusiana.