Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kutana na mtaalamu anayetibu kisukari kwa kwenda kuondoa tatizo kwenye KONGOSHO ambalo linakuwa limepatwa na tatizo la kushindwa kutengeneza insulin iliyo na kazi ya kurekebisha sukari kwa kiwango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama. Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda haja kubwa maharage yanatoka mazima
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TIBA YA MKOJO:UMETENDA MAAJABU, SIWEZI KUELEZA!!! Naweza kushuhudia sasa, ni tiba, inatenda maajabu nami siwezi kueleza, siwezi kueleza...nilisoma hapa...
9 Reactions
61 Replies
22K Views
  • Redirect
wadau wiki ya mbili hii naumwa mafua makali yasiyopona nimekunywa dawa mbali mbali ikiwa na pamoja na kutafuna tangawizi lakin bado hayajapona .......cha kushangaza cjawah kuumwa mafua kipindi...
0 Reactions
Replies
Views
habari za muda huu ndugu zangu mimi ninamtatizo ya kuumwa na miguu chini ya unyayo aswa nikitoka kulala au nikikaa chini kwa muda mrefu wakati wa kunyanyuka inauma sana je ilo ni tatizo gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie mawazo yenu ili kujua kama hivi navyofanya ni sahihi au natwanga maji kwenye kinu..??.... Ni hivi,tangu niko darasa la 6 nilianza kujihusisha na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari na poleni kwa uchovu ama matatizo mbalimbali ya kiafya na shukran kwa wote wanaojaribu na wanaoyatatua kwa namna moja ama nyingine. Ombi langu ama ushauri wangu tunapokua na tatizo na...
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Mimi ni msichana 23 yrs old,sijafnya mapenzi snce may dic year and i was ok,bt aftr kumaliza period trhe 13 august naona mabdiliko ambayo ynaninyima raha,natokwa na ute kama wa mayai mabichi na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Pili alijifungua mapacha hao saa 1:00 asubuhi ya Agosti 18, 2013, nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar baada ya watoto kuonekana si wa kawaida. Kufuatia...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Ripoti ya uchunguzi wa utafiti kuhusu matumizi ya dawa za kusaidia kupata usingizi yameonesha kuwa wanawake (5%) huhitaji kutumia zaidi dawa ya kusaidia kupata usingizi kuliko wanaume (3.1%)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.... Nimekuwa na maumivu ya koo kwa muda fulani, maumivu sio makali ila huwa nahisi kama kuna kitu kinakwaruza na kuuma kiasi (kwa muda mrefu sasa). Tatizo hili hutokea mara kwa...
1 Reactions
11 Replies
19K Views
FIVE THINGS YOU MUST NOT DO BEFORE YOU SLEEP 1 - DON'T SLEEP WITH WATCH. Watch can emit a certain level of radioactivity. Though small, but if you wear your watch to bed for a longtime, it...
1 Reactions
16 Replies
12K Views
Jamani wanajf...kila nikila najihisi kutapika.....huu ni karibu mwezi wa pili nakutwa na hali hiyo. Inatokea ma
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wataalam wa tiba naombeni msaada, mtoto mdogo wa miez kama mi4 anapata choo mara 4 kwa siku lakn choo chake kinakuwa kama kinavutika kama makamasi vile. napanga kumpeleka hospital kesho, sio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf nasumbuliwa na jino, linauma hasa nyakati za usiku, nimeshang'oa moja. Je naweza nikatumia dawa na jino likapona bila kwenda kuling'oa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndogu zangu wataalamu wa afya mliopo hapa naombeni msaada wenu,mimi tumbo linaniuma takribani miaka mitatu au minne sasa..DALILI ni huwa lnauma wakati nikiwa nimebanwa na mkojo kidogo,nikichelewa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hallow madoctors! kuna kanyama kameota kwenye shina la uume wangu.Naogopa kukakata.je ni nini na inasababishwa na nini? tiba yake? Shukrani sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi, mimi ni kijana wa miaka 23 nina tatizo katika mguu wangu wa kushoto.Kuanzia kwenye goti kushuka chini kuna muda unapoteza hisia, wiki ya pili sasa tatzo hili linanisumbua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom