Joshua robin
Member
- Aug 27, 2013
- 36
- 6
wakuu naomben mniambie dawa ya jipu
Nimekusoma mkuu nitafanya hivyoHilo jipu lipo wapi?dawa ya jipu ni kutumbuliwa..na hutegemea na eneo lilipo unaweza kuhitaji antibiotic vilevile nakushauri uende hospitali!
nimetumia na nimeanza kuona mafanikio. Shukrani sana mkuu