Serikali ya mkoa wa Kigoma na WLF wazindua Kampeni ya Redio na Uhamasishaji Jamii kuwahimiza akina mama wajawazito wajifungue katika Vituo Vya Huduma za Afya.
Serikali ya mkoa wa Kigoma na World...
Kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaoenezwa na bacteria aina ya TREPONEMA PALLIDUM.Ugonjwa huu ni hatarisana,huleta madhara makubwa ktk mwili wa binadamu.Madhara yanayotokana na kaswende mtu asipopata...
Hello dear members. Jamani nina babangu anaumwa takriban miezi mitano sasa. Shida ni kwamba maji na hewa yamejaa kwenye mapafu hafu yanamsababisha kukohoa kwa sana na kushindwa kutembea, yaani...
KATIKA maisha, mwanadamu anapitia awamu mbalimbali za maisha. Kila awamu ya maisha inahitaji ulaji wa chakula cha aina yake. Mwili wa mtoto unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili...
When it gets to the point where you cant even remember the last time that you had sex because of erectile dysfunction, you need to get help. But what if you dont want to spend thousands of...
jamani wanajamvi naomba mnisaidie, nimeugua ugonjwa wa miguu kuwaka moto takribani miaka minne sasa, nimepima kila kipimo, nimetumia dawa za kienyeji za kila aina bado sijaona mabadiliko! ugonjwa...
Habari wana JF,
Naomba msaada wenu tafadhali, kwani mke wangu ni mjamzito wa miezi saba sasa. Ameanza kutokwa na mkojo bila mpangilio leo hii na wala haumuumi! Je ni hali tu ya kawaida au kuna...
Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana
Jamani mi ni msichana lakini sauti yangu ni nzito saana kiasa kwamba hata nikiongea na simu mtu anaweza akafikiri kapokea mkaka naombeni mnisaidie nifanyaje niweze kulainisha sauti yangu.
Hapa mtaani kwetu wamekuja jamaa flani si vyema kuwataja jina ila wana Mobile Clinic. Wanasema wana mashine ambayo haihusishi kutoa damu, yani unaweka mgono tu inafanya full body checkup...
Wasalaam,
Kuna nyuzi nyingi zipo jukwa hili za matatizo ya nywele na watu wanasaidiwa vizuri,kwangu mimi shida yangu ni mwanangu ananywele karibia uso mzima. Nimejitahidi kumtinda mara nyingi...
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania (TFDA) imefuta usajili wa aina tano za dawa za binadamu na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja...
nimtumiaji wa bluband sio sana ila naona imeniletea aleji flani hivi
nimetokwa na uvimbe kama jibu karibu na dushe pale kwenye bustani kwa pembezoni
nini athari yake na dawa maana linaninyima...
Salaam wanajamii,
Nimekuwa na tatizo almost ni mwezi sasa kila ninapolala nahisi kupoteza fahamu.Hali hii hutokea kama ndoto lakini na uhalisia na baada ya muda fahamu hunirejea. Je, linaweza...
naomba kufahamishwa kisonono baridi ni nini kwasababu ukipita mitaani mabanda mengi ya Dawa za asili yanaorodhesha kisonono baridi kama miongoni mwa magonjwa wanayotibu. Hiki kisonono baridi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.