Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
Kwanza kabisa heshima mbele! Samahan wadau nilitak jua km ni tatizo au ni kawaida kwa mwanammke siku za kupat hedhi kubadilika badilika hapa na maana kuwa mwez huu anaweza pata hendhi tareh 15...
Wanasayansi wanasema sasa inawezekana kufanya transplant ya kichwa/mwili.
Kwa maneno mengine ni kwamba, wanaweza kuhamisha kichwa cha mtu na kukiweka kwenye mwili mwingine. Kwa hiyo kama kwa...
Wana jamvi nina tatizo la kukujoa mkojo wa njano kwa muda wa miaka kama mitatu sasa na ninaumwa tumbo upande wa kushoto, nimefanya vipimo mara mara kadhaa lakini naambiwa sina tatizo lolote...
Leo wanaume wa makamo na hata vijana wanapatwa na maradhi au matatizo ambayo zamani yalikuwa ya wazee wa miaka 60-70, kuendelea…
Kati ya sababu ni;
1. Namna tunavyokula. Vyakula vyenye...
Wu Xiaoyan, a 22-year-old woman from China, has a serious deformity of her face. She was called an Avatar girl...
Wu Xiaoyan's disease is called fibrous dysplasia (it causes growths in bones)...
Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda...
Habari If
Jamani Mimi Leo ni siku ya tano cjapaja kwenda na sijisikii kwenda chooni kujiasaida haja kubwa. Naombeni ushauri wenu jamani nifanye mini. Maana sio kawaida yangu kukaa cku zote hizo
Hi wapendwa,
Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi...
Habari zenu.
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara,kutapika japo si sana kwa siku naweza kutapika mara 2.
Siku 2 zilizopita mwili ulikuwa unauma vibaya sana kiasi kwamba nikienda...
nina siku kama tatu hivi naenda chooni zaid ya mara sita kwasiku tumbo haliumi ila choo kina harufu mbaya sana pia nakaa zaid ya masaa sita nikibeua chakula kinakuwa bado hakuja sagika tumboni.
Ndg zangu habari za majukumu. Mwanangu anauvimbe sehemu ya chini ya mbavu kushoto kuelekea kwenye tumbo.Uvimbe huo ni kama mfupa lakini sio. Wenye kujua hili tatizo karibuni kwa msaada. Mtoto...
Habari zenu wapendwa natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu kuujua mzunguko wangu kwa ujumla, na mkanielekeza cku muhimu ya kupata pregnant lakini mpaka leo holaa na...
Asalaam aleykum.
ku poop = imetumika kama kupata haja kubwa.
ku pee = imetumika kama kupata haja ndogo
Kuna mambo mengi yanayotokea labor wakati wakujifungua but the most embarrassing ni vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.