Habari za hapa.
Ilianza taratibu tumbo kujaa upepo na kutokua na amani kiasi cha kukosa hamu ya kula. hali hiyo ilijitokeza kwa siku ambazo nimekula viazi vitamu (chai ya asubuhi) kwa kawaida...
Wakuu, mimi kijana wenu nasumbuliwa na mguu sasa miaka miwili, nimehangaika kwenye mahospitali huko wameshindwa.
Tatizo langu ni kwamba, nilianza kuumwa mgongo kwa saana baadae mguu wa kulia...
Hellow.....
Nina kabinti cha one week,nilijifungua week iliyopita....sasa since day one amekuwa ananyonya balaa....maziwa yalipochanganya akawa ananyonya mpaka yanakauka kisha anaanza kulia sababu...
Dawa inaitwa Madalah, yenyewe inatibu maradhi mengi, pia ukiweka mchanganyiko wa mti mwingine unafanya itibu maradhi mengi zaidi. Inatibu kisukari, pressure, inaongeza cd4 mwilini, nguvu za kiume...
habari zenu wapendwa
Nina mdogo wangu anaumwa sana mtoki tangu juzi, hana kidonda wala infection yoyote.
akienda hospital doctor anamwambia anywe dawa za maumivu tu na hazimsaidii.
Ila kuna...
A study being published online September 15, 2014 in the Journal of Clinical Oncology reports that men with a specific pattern of baldness at age 45 have a 40% increased risk of developing...
Wanajamii FF. nahitaji kuelimishwa juu ya madhara ya madawa ya kemikali katika kilimo cha bustani za mbogamboga kwa BINADAMU. na nahitaji kujuzwa madawa ya asili ya kulinda na wadudu wasiharibu...
Hivi mbona watu wanakula sembe? Dona ambayo ina kiini lishe kinaondolewa. Watu wanakula makapi. Ugali mweupe. Ni ustaarabu au ulimbukeni? Jamii inatakiwa kuhamasishwa kula dona ili akili na mwili...
Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali...
Wakuu nisaidieni huu ugojwa gani,na kipi nifanye kuzuia tatizo lisiendelee? Toka niko Mdogo nilikuwa nna mwanya mdogo ila umeongezeka mpaka sasa nkichonga jino la bandia wanaweka meno mawili...
70 Ways to Increase Your Brain Power
You Want More Brainpower Not Higher IQ Scores!
Okay, maybe you want higher IQ scores too. The American Heritage Dictionary defines Intelligence Quotient...
Kuna shida inamkuta ndugu yangu wa karibu ana miaka arobaini na tano kwa sasa ila bado anaendele kupata hedhi, na alikaaga kwa muda wa miezi isiyopungua nane bila kupata hedhi lakini now imemrudia...
Nimekuwa nikisikia huu mjadili wa "matumizi ya Fluoride" kwenye dawa ya meno na Athari zake.Wengine wanasema Fluoride haina madhara kama ikitumiwa kwa kiasi na kwa upande mwingine wengine...
Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) is the back flow of the stomach contents into the esophagus (the tube that connects the mouth to the stomach) with or without esophageal inflammation...
Wana Jamii Forums.
Mnisaidie nini kisababishi cha maumivu ya korodani rafiki yangu anasumbuliwa ni wiki ya pili sasa.
Kapima damu na mkojo yukosafi.
Tunaomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.