Jamani wanajamvi naomba msaada wa huu ugonjwa! 4yrs undr pain | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wanajamvi naomba msaada wa huu ugonjwa! 4yrs undr pain

Discussion in 'JF Doctor' started by luckman, Aug 5, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  jamani wanajamvi naomba mnisaidie, nimeugua ugonjwa wa miguu kuwaka moto takribani miaka minne sasa, nimepima kila kipimo, nimetumia dawa za kienyeji za kila aina bado sijaona mabadiliko! ugonjwa huu hutokea pale unapotembea umbali mrefu, wakati wa kulala na asubuhi ndo huwa maumivu yanakuwa makali na nisehemu za unyayo tu maumivu hayapandi juu! NI NINI NAOMBA MSAADA NDUGU ZANGU!!!!!!!!
   
 2. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana.God is everything just pray and u will b alright
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,116
  Likes Received: 6,598
  Trophy Points: 280
  [h=3]Nimeibaba kama ilivyo ili uisome, nahisi niliipata hapa hapa jamvini.

  MIGUU KUWAKA MOTO......
  [/h]kuna mdau wangu mmoja mkubwa sana wa blog hii yeye jamani anasumbuliwa na miguu kuwaka moto, yani anasema mpaka akilala hawezi kabisa kufunika miguu na mpaka akiiweka katika maji ya baridi inaweza kuyafanya maji hayo kuwa yamoto...
  hili ni tatizo kubwa sana unalakumueleza?

  kwamimi ninavyofahamu hiyo itakuwa ni allergy ya kitu fulani, nakushauri uende hospital na ukapime kwa sababu hata mimi kitu kama hicho kilishawahi kunitokea lakini mimi sio miguu kuwaka moto ilikuwa ni upande wa kushoto wa mgongo na nilivyoenda hospital Dr. akaniambia ni allergy akanipa na dawa za kupaka na ninaendelea vizuri tu...

  Yawezekana ikawa kweli ni allegy, lakini mara nyingi zinakuwa ni dalili za hypertesion (pressure ya juu) au kisukari. Muone dactari hasa wa magonjwa niliyoyataja hapo juu atakushauri. Lakini pia usisahau kunywa maji kwa wingi, punguza au acha kabisa kula nyama nyekundu(ya ngo'mbe, mbuzi n.k), punguza kula chumvi nyingi na mambo mengine kama hayo. Hiyo hali uliyo nayo siyo dalili nzuri kabisa lazima ushughulike mapema. Vilevile waweza kumuona dkt ndodi (yupo magomeni na watu wengi wanamfahamu) au dkt Ndulu (yupo Morogoro, Kihonda Amadiya) kwa hawa watu huwezi kosa msaada. Pole sana mdau
   
 4. s

  stase0 New Member

  #4
  Feb 13, 2015
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba namba ya cm ya dkt ndulu
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2015
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa hayo maradhi yako ndugu Ukiwa bado hujapata Dawa ya kukutibia nyayo zako kuwaka moto nitafute mimi Dawa ninayo ninaweza kukutibia na ukapona na ukasahau kama unayo hayo Maradhi ya nyayo kuwaka moto ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
   
Loading...