Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Samahani, ningependa kujua gharama ya kufanya plastic surgery ya bega na mkono kwa ujumla inaweza ku range kiasi gani approxmatry? na ni hospital gani wako vizuri kwenye hii...
0 Reactions
4 Replies
575 Views
Wakuu habari . Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu. Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Viongozi napenda nijue Tiba ya kwikwi maana siku ya tisa sasa baba yangu inamtesa sanaaa inafika muda kwikwi inambana Hadi anashindwa kupumua na muda mwingine anatapika... Yeye kama yeye kajaribu...
3 Reactions
76 Replies
29K Views
Habari za Leo wakuu. Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa wenzangu, Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Habarini Wana-JF, kama kichwa kinavyojieleza. Vipele ni changamoto kubwa.
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara...
2 Reactions
3 Replies
656 Views
Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu. Mahitaji 1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) 2. Bilauri ya maji (nusu lita) Maelekezo Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza...
37 Reactions
69 Replies
10K Views
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu. Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda...
19 Reactions
156 Replies
10K Views
Wakuu naombeni msaada wa namba ya kutibu hali hii.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Heshima kwenu Wana jamvi. Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni) Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Mwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Wataalam habari. Naomba kuuliza, ni namba gani ya kupandisha Kinga ya mwili iliyopo chini kwa mtu ambaye siyo muathirika wa UKIMWI
0 Reactions
7 Replies
582 Views
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
6 Reactions
147 Replies
6K Views
Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya...
1 Reactions
4 Replies
855 Views
Habari, Msaada wenu wanajukwaa Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba. Hii mimba ni yangu? Jee kipimo kile...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Wakuu habari.. naomba kufahamishwa hospital inayotibu hili tatizo tumehangaika mnoo. Mbarikiwe
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…