Habari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na ninaamini hapa JF ni mahali sahihi pia.
Mimi binafsi ni Mkristo, mhitimu wa Chuo kikuu, nimeajiriwa, na nina umri wa miaka 30.
Natafuta mke mwenye umri usiozidi miaka 30, awe na elimu angalau ya kidato cha nne na awe Mkristo. Anaweza kuwa yuko chuoni, ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
Mambo mengine tutayaongea kupitia inbox. Aliye na nia ya dhati ani-PM