Msaada :Tiba sahihi ya Keloids(Skin disease)

edwin4

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
287
217
Ndugu wana body naomba kujua dawa sahihi ya ngozi kuanzisha vijiuvimbe vinavyo washa then vinakua kadri siku zinavyo endelea. Kitaalamu huu ugonjwa unaitwa(KELOID).Naomba kuwasilisha.
 
Tiba sahihi ni kuondoa kwa upasuaji na mbaya zaidi huwa zina bleed hizo vibya mno chamsingi na matibabu ya moja kwa moja ni kuiondoa km inaleta usumbufu
 
Nilifanyiwa upasuaji miaka mitatu iliyopita lakini zimerudi tena .
 
Kwa maelezo mafupi keloids ni tatizo la ngozi kwenye healing Lipo genetically namaanisha huwezi kulibadilisha

Kwamba Keloids hazihitaji matibabu maana kawaida haziumi laah kwa ajili ya cosmetics kutokana na jinsia na mahali zilipo
Mtu anaweza kulzimika kufanyiwa aina tofauti za upasuaji

NB hakuna guarantee ya kuziondoa in large percent zitarudi tena baada ya muda kidogo either palepale au mahala engine pa ngozi
KWA asilimia kubwa K eloids zinatokea mahali panapopona that is palipo n.a. kidonda inaweza kuwa mkwaruzo mkato wa bahati mbaya au wa kutokana n.a. matibabu kama upasuaji
Ushauri ni kuepuka aina hizo pamoja n.a. kuepuka upasuaji isiyo ya lazima sana

Unaweza pia kupata elimu kwa mtandao
 
Njoo muhimbili kuna wataalamu wa plastic surgery watakusaidia humu ht nikikuambia hatutoelewana clinic ni j4 na alhmisi km sikosei
Asante Sanaa kwa ushauli!
Kwa maelezo mafupi keloids ni tatizo la ngozi kwenye healing Lipo genetically namaanisha huwezi kulibadilisha

Kwamba Keloids hazihitaji matibabu maana kawaida haziumi laah kwa ajili ya cosmetics kutokana na jinsia na mahali zilipo
Mtu anaweza kulzimika kufanyiwa aina tofauti za upasuaji

NB hakuna guarantee ya kuziondoa in large percent zitarudi tena baada ya muda kidogo either palepale au mahala engine pa ngozi
KWA asilimia kubwa K eloids zinatokea mahali panapopona that is palipo n.a. kidonda inaweza kuwa mkwaruzo mkato wa bahati mbaya au wa kutokana n.a. matibabu kama upasuaji
Ushauri ni kuepuka aina hizo pamoja n.a. kuepuka upasuaji isiyo ya lazima sana

Unaweza pia kupata elimu kwa mtandao
 
Kwa maelezo mafupi keloids ni tatizo la ngozi kwenye healing Lipo genetically namaanisha huwezi kulibadilisha

Kwamba Keloids hazihitaji matibabu maana kawaida haziumi laah kwa ajili ya cosmetics kutokana na jinsia na mahali zilipo
Mtu anaweza kulzimika kufanyiwa aina tofauti za upasuaji

NB hakuna guarantee ya kuziondoa in large percent zitarudi tena baada ya muda kidogo either palepale au mahala engine pa ngozi
KWA asilimia kubwa K eloids zinatokea mahali panapopona that is palipo n.a. kidonda inaweza kuwa mkwaruzo mkato wa bahati mbaya au wa kutokana n.a. matibabu kama upasuaji
Ushauri ni kuepuka aina hizo pamoja n.a. kuepuka upasuaji isiyo ya lazima sana

Unaweza pia kupata elimu kwa mtandao
Asante sanaa kwa ushauli ila keloids hizi zinawasha sanaa na wakati mwingi zinauma sanaa as if kunakitu kinanichoma ivi. Pia KUNA dawa ilionekana kunisaidia sanaa dawa yenyewe inaitwa TRIAM INJECTION, nililigundua hili baada ya kuwa injected na sindano maalum ambapo sikuhisi maumivu kabisaa na ndani ya wiki moja ulilainika kabisa na kuanza kupungua ila nlipo rudi kwa Mara ya pili kuendelea na dozi, daktari yule sikimkuta hivyo tiba ikaishia hapo. So swali nlilo nalo ni wapi ntakutana na dokta anaye ifahamu hiyo sindano, niliipenda sanaa.
 
Asante sanaa kwa ushauli ila keloids hizi zinawasha sanaa na wakati mwingi zinauma sanaa as if kunakitu kichoma ivi. Pia KUNA dawa ilionekana kunisaidia sanaa dawa yenyewe inaitwa TRIAM INJECTION, nililigundua hili baada ya kuwa injected na sindano maalum ambapo sikuhisi maumivu kabisaa na ndani ya wiki moja ulilainika kabisa na kuanza kupungua ila nlipo rudi kwa Mara ya pili kuendelea na dozi, daktari yule sikimkuta hivyo tiba ikaishia hapo. So swali nlilo nalo ni wapi ntakutana na dokta anaye ifahamu hiyo sindano, niliipenda sanaa.
 
Triam ndo sindano yake, mm zilinisumbua sana zilikua zinawasha na mda mwingine kuuma sikuwah kutumia triam japo ndo dawa yake, nilifanya upasuaji kama mara mbili lakin zikawa zinarudi tu, nikaona hakuna namna nikuachana nazo
Chakushangaza zimeisha zenyewe yaan now vinaonekana kwa mbaaal kama vichunus
 
Asante sanaa kwa ushauli ila keloids hizi zinawasha sanaa na wakati mwingi zinauma sanaa as if kunakitu kinanichoma ivi. Pia KUNA dawa ilionekana kunisaidia sanaa dawa yenyewe inaitwa TRIAM INJECTION, nililigundua hili baada ya kuwa injected na sindano maalum ambapo sikuhisi maumivu kabisaa na ndani ya wiki moja ulilainika kabisa na kuanza kupungua ila nlipo rudi kwa Mara ya pili kuendelea na dozi, daktari yule sikimkuta hivyo tiba ikaishia hapo. So swali nlilo nalo ni wapi ntakutana na dokta anaye ifahamu hiyo sindano, niliipenda sanaa.
Triam ni steroid injection naamini hospital kubwa private za mjini inapatikana
Kazi ya steroid ni kupunguza mwasho maumivu pia saizi ya uvimbe kuna baadhi unapungua kwa kiasi kikubwa sana hadi kuonesha dalili za kutowwka
Recurrence bado iko palepale
Huwa unachoma kila baada ya kitambo 2/6 weeks apart kulingana na maendeleo
NB triam haitibu K eloids kama alivosema mmojawetu ila inasaidia kwa kiasi kikubwa
 
Hiyo option pia ipo ukiziacha mtu mmojamoja tunatofautiana wachache zinapungua hata kupotea n.a. huwezi elezea ni dawa ipi imekuponya kama ilivo ngumu kueleza kisabibishi
 
Triam ni steroid injection naamini hospital kubwa private za mjini inapatikana
Kazi ya steroid ni kupunguza mwasho maumivu pia saizi ya uvimbe kuna baadhi unapungua kwa kiasi kikubwa sana hadi kuonesha dalili za kutowwka
Recurrence bado iko palepale
Huwa unachoma kila baada ya kitambo 2/6 weeks apart kulingana na maendeleo
NB triam haitibu K eloids kama alivosema mmojawetu ila inasaidia kwa kiasi kikubwa
Nikweli kabisa kua dawa inapatikana hata kwenye maduka ya dawa ila tatizo ni wapi ntaipata sindano yake maalumu hii iko tofauti na hizi zakutumia nguvu. Naitafuta kwa ghalama yoyote ile!
 
Baada ya operation kidonda kinapona uwe una massage na vitamin E lotion asubuhi na jioni
 
Duuuh! hii option inaukweli ndani yake japo doctor hakunipaga huu ushauli. Vipi nikiitumia kwa sasa haiwezi kunipa ahueni flani hiv?
 
Iko more effective wakati kovu linapona ule wakati ngozi inawasha kama healing process
 
Asante sanaa kwa ushauli ila keloids hizi zinawasha sanaa na wakati mwingi zinauma sanaa as if kunakitu kinanichoma ivi. Pia KUNA dawa ilionekana kunisaidia sanaa dawa yenyewe inaitwa TRIAM INJECTION, nililigundua hili baada ya kuwa injected na sindano maalum ambapo sikuhisi maumivu kabisaa na ndani ya wiki moja ulilainika kabisa na kuanza kupungua ila nlipo rudi kwa Mara ya pili kuendelea na dozi, daktari yule sikimkuta hivyo tiba ikaishia hapo. So swali nlilo nalo ni wapi ntakutana na dokta anaye ifahamu hiyo sindano, niliipenda sanaa.
Doctor was correct.. Kwa Doctor uliyemkuta ungemwambia unatumia "Triam" ambayo generic ni "Triamcinolone" hope angekuelewa tu,kwani hata kadi ya matibabu hukuwa nayo na Daktari hakusoma post medical history yako?
 
Dr. natamani kwenda kuchomwa trium lakini nikikumbuka maumivu yake naishiwa poz kabisa, hivi hakuna namna ya kumpugizia mgonjwa maumivi?
 
samahani mkuu nilichelewa kukupa jibu,kazi kuwa nyingi,in clinical setting unaweza kupunguza maumivu kwa mgonjwa kwa kuongeza 0.2ml ya lignocain 2% kwenye sindano,mgonjwa hapati maumivu kabisa,hii inafanyika hospital na wala haiathiri utaratibu wa principal medicine.
 
Back
Top Bottom