Msaada:je dawa ya mzizimkavu ya upungufu wa mbegu za kiume inatibu tatizo?

bunazi

Senior Member
Nov 24, 2014
116
90
Jamani wana jamiiforum wenzangu nauliza kwamba kuna mtu ameishawahi kusaidika na dawa ya mzizimkavu ya low sperm count,imenichukua muda mrefu kupata kababy ka pili inabidi twende kupima na tumepima takribani mara mbili majibu yakawa yaleyale dokta amesema huenda ni pombe Kali ninazopiga kwa kweli makali napiga sana, msaada wenu wanajf ushuhuda wenu unahitajika kabla sijafanya mchakato wa kumtafuta mzizimkavu.
 
Kula vyakula vinavyoongeza manii kwa sana pia acha pombe kali na sigara mkuu
 
Back
Top Bottom