Habari wadau mkewangu ana ujauzito wa miezi 2 ila tatizo ni kichefuchefu cha mara kwa mara hatimaye chakula hakikai tumboni, pili hana hamu ya kula isipokuwa uji tu tafadhali msaada kwa huyu mama...
Habari wakuu..
Kuna rafiki yangu Jicho lake la kushoto linacheza cheza( This is involuntary) na sio kwamba halioni hapana bt linacheza cheza linatulia baada ya mda kidogo linacheza tena ( NB: siyo...
Hello ndugu zangu wa JF .Naombeni msaada please. Jicho langu la upande wa kulia halioni vizuri kama ukungu Flani hivi lakini la upande wa kushoto liko sawa kabisa. Naombeni ushaurii kwa wale Dr wa...
Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea.
Chembe...
Ninashida ya kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu,njaa ninayo lakini sitaki chakula chochote nikila kinakuwa kichungu na ninatafuna kwa muda mrefu kabla ya kumeza,ninalazimika kutumia pilipili...
Kwanza kabisa niwape pole Kwa majukumu. Nina kaka yangu. Wa damu 1 niliemfuatia. Alianza na kulalamika kuwa mke wake anamsumbua lakini mwezi umepita akawa ni mkali hata kwa jambo dogo. Ongea yake...
Wataalam nawasalimu. Nina ndugu Yangu amepata tatizo la kiu Mara kwa Mara. Yaani akinywa Maji haipiti hakika 10 midomo imekauka kiu. Amekwenda hospital amefanyiwa vipimo vya diabetes tena wanaita...
Wasalaam wadau wa afya.
Hivi ninavuoandika uzi huu kichwa kinaniuma upande wa juu ya jicho la kushoto zaidi ya saa moja sasa.
Siku ya leo sijatoka ndani, nimepumzika Karibu siku nzima...
Wakuu ninawasalimu.
Kama kichwa cha mada kinavosema, nini husababisha hali ya kuwashwa njia ya haja kubwa. Nini tiba yake na namna ya kuepuka adha hii. Asante.
Nawasalimuni wote JFDoctors!!!
Somo la 1;Chanjo dhidi ya kuhara!!
Utangulizi
Chanjo, ni muhimu kwa mtoto kwani huandaa kinga ya mtoto mapema, na hivyo kumuepusha na maradhi ambayo yatamkabili...
JE, WAJUA?
Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo.
Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi.
Massage huondoa maumivu ya mgongo.
Massage huondoa msongo wa mawazo.
Massage huboresha mzunguko...
JE, WAJUA?
Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo.
Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi.
Massage huondoa maumivu ya mgongo.
Massage huondoa msongo wa mawazo.
Massage huboresha mzunguko...
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama...
Husika na kichwa cha habari jana ilikuwa siku ya pili nasumbuliwa gas tumboni nashindwa kulala usiku nikikaa kitandani haliumi nikilala tu linaanza.
Nilishawahi kusumbuliwa na ili tatizo but...
Kwa nijuavyo pethidine ni dawa ya maumivu ya daraja la opioid ambayo mara nyingi hutumika theatre wakati Mgonjwa akifanyiwa operation na baadae hutumika kwa Mgonjwa huyo huyo ndani ya masaa 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.