Karibu mtu yeyote anaweza kufundishwa kupitia hypnotherapy kupunguza maumivu. Mapendekezo hutolewa kwa ajili ya kudhibiti mauvi ikiwa yamekuwa makali watu wengi wanaweza mara moja kupata msaada...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethahadharisha kuwa, kushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo kunasababisha ongezeko la ugonjwa wa kisonono ambao kwa sasa umekuwa mgumu kutibika kutokana na bakteria...
REPEATION ON AZUMA FOR HIV and AIDS HEALING.
PROVEMENT...AZUMA is seriously treating and healing HIV and AIDS apart of treating STDs.
AZUMA inatibu na kuponya VVU na UKIMWI nje ya magonjwa ya...
Habari wana jf.
Kwa anaefahamu naomba anijuze kuhusu #GREEN_TEA maana nakutana nayo sehemu nyingi sana.
Na ninaweza kuipata wapi kwa hapa kwetu bongo Viwonder.
Wakuu kama topic inavyojieleza
Siku za hivi karibuni nimekua mtu mwenye msongo sana wa mawazo, nimeugua UTI kali, sana na nilienda kwa mke wangu lakini kutoa unyumba akawa anagoma. Siku hizi hata...
Habarini wanabodi;
Kizazi cha digitali kimekuja na mambo kibao ambayo ni kutokana na uvivu na uzembe,kuna dawa nyingi za kupunguza vitambi na manyama uzembe,zipo za kupakaa,kunywa n.k,Je hizo dawa...
Ndugu wanajukwaa
Nimesoma kwenye gazeti la Mailonline kwamba kuna ugonjwa wa mlipuko umetokea Madagaskar na unaambukizwa kwa njia ya hewa, mate au kamasi na unaua ndani ya masaa 24.
Naomba kama...
Nibinti anaumri wa miaka 16,kihistoria aliwahi kua boshen vile vile ameshaugua fangasi/Bacteria ukeni akatumia dawa tatizo likaonekana kwisha lakini baadae akaanza kuhisi muwasho na maumivu makali...
Wanajamii forum naombeni msaada wenu kwani macho yangu ni mekundu japokuwa situmii pombe wala kuvuta sigara au bangi je dawa gani inaweza kunisaidia kuondoa tatizo hili
Nawasilisha
Sent using...
Naomba msaada wenu Madaktari na Kina Mama mlio na Uzoefu na Hii hali jamani,yani mke wangu Tangu ajifungue alikua ananyonyesha vizuri kabisa maziwa yote mtoto ananyonya bila shida yoyote ile mpaka...
Kwa wenye vitambi tu nipigieni simu mje hapa kinokleini ulizieni nguli, akina wapwa ni free of charge.
=========================
Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada...
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethahadharisha kuwa, kushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo kunasababisha ongezeko la ugonjwa wa kisonono ambao kwa sasa umekuwa mgumu kutibika kutokana na bakteria...
Uvimbe kooni husababishwa na mambo mengi na mara nyingi huwa haisababishi shida kubwa sana.Ukifungana mapua, makamasi hupitia kooni na hivyo basi kusababisha uvimbe.Baridi kavu inaweza pia kufanya...
Salaaam sanaa wana JF awaliyayote napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia afya na uzima
Niliwahi kuleta mada ya mtu wangu wakaribu aliwahi kwenda Hospital kupima hiv kipimo cha kwanza hambacho...
Wakuu ma Dr na wataalam naombeni msaada katika hili. Ndani ya kipndi kama cha miaka 6 ivi nimekuwa niku sumbuliwa sana na ndoto mbaya za usiku. Tatizo lilianza nikiwa A-level arusha. Nikiwa nime...
Habari!
Ndg mimi nimesumbuliwa na mafua sana nilikuwa na mafua makali nikatumia dawa top plus yakapungua lakini nikashangaa badaa ya siku kadhaa nikawa natoa makamasi mazito kwenye pua la kushoto...