Shmaider
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 406
- 120
Nibinti anaumri wa miaka 16,kihistoria aliwahi kua boshen vile vile ameshaugua fangasi/Bacteria ukeni akatumia dawa tatizo likaonekana kwisha lakini baadae akaanza kuhisi muwasho na maumivu makali ukeni wakati wakujisaidia hajandogo,akatumia maji kwa wingi hali ile ikatoweka baadae tena akiwa anajisafisha ukeni kwa kidole wakati anatoa aliona utando wa damu kidoleni.Huu ni mwaka wapili mpangilio wake wahedhi unakuwatofauti yani kunawakati anachelewa kuingia wakati mwingine anawahi kuingia na aikiingia.Dam inakata kati ya siku sita hadi saba kutokana na maelezo hyo huyu binti kunauwezekano wakupata ujauzito?Naafanyeje ilikuepukana nahali kama hizo nilizo eleza?