Umewahi kusikia uvimbe uitwao , uvimbe_jini, au kwa kingereza "monster_tumor"
hii ni aina ya uvimbe unaopatikana katika mji_wa_mayai_wa_mwanamke... pamoja na Ovary_and_fallopian_tube...
Nimefikia msimamo huo baada ya kutafakari haya:
1. Kiwango kikubwa cha matumizi ya tumbaku. Nimebahatika kutembelea mikoa mbalimbali hasa maeneo ya stendi za mabasi na baa na kujionea kiwango cha...
Habari wanajf nina kwa miezi saba nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kibofu,njia ya mkojo,pumbu na uume nimezunguka sana hata kwa maurologist lakini sipata nafuu wala dawa nilizopewa hazijawahi...
Habari wadau wa Jf,
Nina kijiswali ambacho mara nyingi huwa naulizwa na watu mtaani kuhusu upungufu wa nguvu za kiume, nilijua ni swali jepesi lakini pindi ninapojibu huwa napata changamoto...
Habari zenu wakuu.
Mara nyingi nimekuwa nikienda hospital au maabara na friends wangu majibu karibia ya watu wote yanakuja sare..
Mfano vipimo vya malaria, typhoid na UTI majibu huwa yanarudi...
Week iliyopita nilikutana na tatizo LA kukohoa damu kama damu na cyo makohozi yenye damu week hii tena cku ya juma tano hali iyo imejirudia kwa muda mfupi tu kama 1dk. Naomba kujua tatizo hili...
Wasalaaam.Mwanaume umri miaka 34 tatizo langu ni maumivu makali pembeni ya goti (sio goti zima)la mguu wa kushoto hasa kipindi cha baridi(Nipo arusha) ndio napata Haya maumivu Mara nyingi.Hi ni...
Habarini wakuu,
Naomba kujua faida na hasara ya maziwa ya soya kwa mtoto, na wapi naweza kupata bidhaa hii adimu" na inakuwa katika mfumo wa unga ama maji??
Asalaam.
How To Manage Stress At Work?
 Create A Plesant Work Environment
 Manage Your Time
 Avoid Feeling Guilty
 Dont Think That Your Are A Perfectionist...
Natumai mu wazima wa afya
Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana
Tafadhali naombeni msaada was...
Wakuu,
Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa...
Ndg wajuzi wa masuala ya kitabibu hawa kwa magonjwa yanayoweza kuzuilika /kuhepukika,, hivi mtindi una uwezo wa kuwasaidia watu wanaofanya kazi Kwenye maeneo ya vumbi? Kama ilivyo kwa maziwa...
Ndg Wana Bodi ya JF Amani iwe kwenu.
Nina ndugu ambaye anatumia Dawa antiobatc ya Muwasho kwenye mwili ana dose ya Mwezi mzima.
Wasiwasi wake je akifanya check up hali akitumia dose...
Kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa...
Habari wakuu,
Naombeni kufahamu huu ugonjwa nilionao ni ugonjwa wa namna gani?
Nikianzia hapa ni kwamba toka mwezi wa 6 mwaka jana nilikuwa najihisi kuchoka sana kwa shughuli ndogo ndogo kama...
Habari wanajamvi nimekuwa nikisumbuliwa na kuwashwa sehemu za siri takribani miaka saba sasa nimehangaika kutumia madawa mengi ya hospital bila mafanikio, imefika kipindi kwenye koo kumekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.