Naomba kujua faida na hasara ya maziwa ya soya kwa mtoto wadogo

lelo1

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
583
479
Habarini wakuu,

Naomba kujua faida na hasara ya maziwa ya soya kwa mtoto, na wapi naweza kupata bidhaa hii adimu" na inakuwa katika mfumo wa unga ama maji??

Asalaam.
 
Back
Top Bottom