Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,521
Habari zenu wakuu.
Mara nyingi nimekuwa nikienda hospital au maabara na friends wangu majibu karibia ya watu wote yanakuja sare..
Mfano vipimo vya malaria, typhoid na UTI majibu huwa yanarudi sare kama ni typhoid na uti unakuta hatuna malaria.
Au siku zote unakuta wote tuna malaria tuu UTI na typhoid hamna..
Sasa jana nilipima nikaambiwa Nina malaria na typhoid nikasema ngoja nijaribu hospital nyingine hivi sasa natoka Hosp sina malaria, typhoid wala UTI Na suikutumia dawa yoyote vipi inawezekanaje?
Au wakati mwingine vipimo vinadanganya?
Wale mliofanikiwa kusoma science ya Afya na maabara nisaidieni.
Mimi nilisoma BA_KISWAHILI.
Asanteni..