Habari zenu wana JF na poleni kwa majukumu
Kutokana na JF kuwa msaada wa maarifa kwangu ndomana nipatapo jambo au kutatizwa na kitu fulani basi bila shaka huwa kimbilio langu.
Wapendwa mimi ni...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kulipia bima ya haraka
Nikiwa na maana kwamba nalipia leo keshoo naanza kuitumia,ni bima gani nzuri
Namgonjwa amelanzwa muhimbili hana...
Za jioni wapendwa, ninatokewa na hali ya kuhic ukungu machoni hasa jicho LA kushoto, mshipa wa shingo huu wa nyuma unakaza huku vkiambatana na maumivu makli sana ya kichwa, kutokwa na jasho jingii...
Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina watoto mapacha wana miez miwili sasa. Kiukweli wameanza kusumbua hivi karibuni nafkri ni kutokana na kutotoshelezwa na maziwa ya mama. Nafkria...
Kwa mda mrefu kipindi cha nyuma nilikuwa nasumbuliwa na malaria isiyoisha na nilikuwa nikitumia dawa tu za kawaida inatulia na baada ya miezi minne au mitatu malaria ikawa inaanza tena
Hadi kuna...
Mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na bilauri ya maji. Baada ya kusabahiana na wanafunzi wake, aliinua juu bilauri ya maji na kuwauliza: "Kwa kutazama bilauri hii, pamoja na maji ndani yake...
Habari kwenu wana wa JF.
Leo nimechukua nafasi ya kuandika makala hii ili ikusaidie katika suala la kuondoa haraka ili uwe na uwezo mkubwa wa kuvumilia.Haraka ni kitu kibaya sana.Mtu ambaye ana...
Hivi waungwana mtoto ni lazima atambae ndo atembee kuna mbidada hapa ananisumbua kweli si wajua ukiwa umesoma kidogo. Mtoto mwaka mmoja hatambai wala kutembea kuna nini hapa?
Habari wana JF,
Leo siko vzuri aisee nahisi maumivu ya moyo huku upande wa kushoto mwa kifua.. Yaan kama inachoma hivi then inaacha.
So naomba mniambie dawa gani nitumie kwa tatizo/maumivu...
Habari zenu wana Jf. ..
Jamani moja kwa moja niende kwenye mada naomba ushauri juu ya suala hili linanipa wakati mgumu sanaa mm kijana mwenzenu. ....
Kua hapo awali nilikua ninasumbuliwa na...
Saikolojia: fahamu magonjwa ya kisaikolojia common tanzania na tabia zake.
Fahamu magonjwa ya akili ambayo yapo katika jamii zetu na dalili zake.
Habari za leo msomaji wangu wa makala zinazohusu...
masikio yangu yananisumbua. yanakuwa kama yameziba na kama vile yana majimaji.
mara nyingine yanawasha. nahitaji kumuona daktari specialist nitampata wapi?
Many people are living with HIV without knowing for a long time. But, experts have provided signs to guide you to know if you have it or not.
According to HealthyLifeVision, in some cases the...
SUNDAY HEALTH:
Age, diet and history predispose to gallstones
Dr ali mzige
Daily News; Monday,June 16, 2008 @11:26
GALLSTONES (kokoto kwenye kifuko cha nyongo) are usually composed...
Wakuu khabari zenu, kwa anayefahamu hili tatizo tajwa hapo juu .."photoallergic contact demartitis" ni aina fulani ya allergy.
Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie...
Habari wataalamu
Poleni na hongera katika majukumu yenu yakila siku
Wakuu naomba kujuzwa ni nini hasa sababu na suluhisho la tatizo langu hili lililonianza wiki ya Pili sasa.
Wakuu nimekua...
Tupoe kwa mihangaiko ya hapa na pale toka tumeamushwa asbh mpk saiv tunakaribia kulala.
Jamani wapendwa naomba msaada kwa hili kwani napata shida sana, mm huwa nikila karanga za aina yoyote za...
Habarini za mida hii wana jf. Poleni na majukumu
Nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na ukimwi kuanzia mwaka uliogundulika mpaka mwaka ulipoingia kwa wingi tanzania na afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.