Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Baadhi ya vyakula ambavyo sio rafiki kwa Mwanaume kuvitumia kwa Wingi ni vile ambavyo vina kiwango kikubwa cha Estrogen ambayo ni homoni za kike ambazo hupelekea kupungua kwa nguvu za kiume.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina ndugu yangu anasumbuli sana tatizo la pumu / asthma Binafsi maspitali nimechoka nayo, mana diwa za kumpa afadhali tu alafu baada ya wiki wiki 2 mambo tena. Hivi hakuna dawa za mbadala za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nina kucha ambayo imeota nisivyotarajia kwenye kidole cha mguu inaniumiza, imegeuka mwiba kwenye mwili wangu mwaka wa tatu sasa je niing'oe ? Msaada
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hakuna mjadala kuwa mazoezi ni muhimu katika mwili wa mwanadamu, na imethibitika kuwa utimamu wa mwili hupunguza matatizo katika utendaji kazi wa ubongo hasa yale yatokanayo na ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu wana jamvi....... Kuna tatizo ambalo linanitatiza mwenzenu,mwili wangu unakawaida yakuwa na joto maisha yangu yote kias ya kwamba mtu mwingine akinigusa anaweza akasema labda naumwa...
3 Reactions
12 Replies
21K Views
Habari wana JF, Naandika kuomba ushauri juu ya hili tatizo la maumivu ya korodani ya upande wa kulia ambalo mara nyingi hunitokea pale ninapokua natembea au kukimbia kwa umbali mrefu. Tatizo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo mwanamke anaweza kuyapata kwenye matiti yake...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hatari wakuu naomba kujua kwa wenye utalaam wa hii dawa nimeandikiwa doz ya siku 30 ya fluconazole lakini ukiangalia hivi karibuni nimekuwa nikipata mkojo wa rangi ya njano sana unaoambatana na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau wa JF. Kuna rafiki mmoja anaishi mbali na mume na huchukua miezi hata minne ndiyo wafanye kwikwichi kutokana na umbali huo. Sasa juzi mume kaja na kadai kamwambia kila Mara akija...
1 Reactions
58 Replies
26K Views
Kama jinsi kichwa kinavyojieleza, naomba mwenye elimu juu ya PreP, binafsi nina uwelewa wa PEP Nimeona kwenye instagram kuwa Serikali ina mpango wa kufanya majaribio ya PreP
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hili ni swali, Kuna baadhi ya dawa tukipewa na madaktari huwa hatushauriwi kutumia maziwa, naomba kujua kwa anaefahamu kama dawa zinazoongeza vitamin zina athiriwa utendaji kazi wake kwa namna...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu. Nina mwenza wangu (KE) anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa ukeni(pembeni mwa uke kwa nje). Tumeenda hospitali mara kadhaa lakina tatizo limekuwa likijirudia rudia tu. Naleta...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwema Wakuu, Leo weekend niliamua kumpeleka Kijana wangu mdogo hospital akachekiwe masikio na pua maana wiki yote hii ana Mafua na analalamika masikio na pua vinamuwasha. Hii hospital inasifika...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu Hivi karbuni takribani wiki mbili zilizopita nimekuwa nikitokwa na vijipele vidogo vidogo, ambavyo vinawasha kweli kweli ukivikuna vinatoa maji halafu vinazaa vingine kama vitano...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara yaani naweza kua nayo na baada ya siku moja au mbili yamekata na baadaye kurudia tena Hivi husababishwa na nini?
3 Reactions
49 Replies
8K Views
habari wana jf: naomba kusaidiwa juu ya tatizo alilo nalo mke wangu.....mda ulipowadia wa kushika mimba mimi na mke wangu tulikutana kimwili......baada ya mda dalili zote za kuonyesha kuwa ni...
0 Reactions
39 Replies
15K Views
Wakuu habari, Naomba msaada, Kuna dada yangu amejifungua wiki iliyopita lakini mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni. Naomba...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kulikuwa kuna post moja juu ya habari za mwanamke kufanya mapenzi na maiti kisha kupata mimba iliyopostiwa na JamiiForums nami nikawa na maswali mengi nikaona nilete hoja mbele...
2 Reactions
108 Replies
12K Views
Habari wakuu Naomba Msaada jinsi ya kusafisha meno kwa njia ya asili au yoyote ile na yaka ng'aaa vizurii
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Doctor, if you can help, I am experiencing severe itching down my testicles. kwa kweli nimepata tiba waapi, pharmacy nimepewa tube nipake waaapi. Kama ni kufuli nabadilisha kila siku moja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom